Lupawa story

Lupawa story Title: Nikipost Facebook Nimeokoka Inawauma Nini? Artist: Lupawa Story
Genre: Afro-Gospel / Ushuhuda wa Imani
Language: Kiswahili
Country: Kenya ๏ฟฝ

15/11/2025
Shalom wapendwa! ๐Ÿ™Nimeachia rasmi wimbo wangu wa tatu wa injili kwa njia ya sauti (MP3):๐ŸŽต โ€œNikipost Facebook Nimeokoka I...
02/08/2025

Shalom wapendwa! ๐Ÿ™
Nimeachia rasmi wimbo wangu wa tatu wa injili kwa njia ya sauti (MP3):
๐ŸŽต โ€œNikipost Facebook Nimeokoka Inawauma Nini?โ€
๐ŸŽค By Lupawa Story โ€“ ujumbe wa ujasiri na ushuhuda wa wokovu!

โžก๏ธ K**a umebarikiwa na nyimbo zangu zilizopita, basi huu wa tatu ni moto wa kiroho! ๐Ÿ”ฅ

โœ… Tafadhali sikiliza,
โœ… Toa maoni yako,
โœ… Shirikisha na wengine,
โœ… Na tuendelee pamoja katika huduma hii kwa utukufu wa Yesu Kristo!

๐Ÿ“ Safari ya huduma inaendelea โ€” na wewe ni sehemu muhimu!
๐Ÿ‘‡ Sikiliza hapa (MP3 link):๐Ÿ“ฅ [https://www.youtube.com/-p8h]

02/08/2025

Shalom wapendwa! ๐Ÿ™
Nimeachia rasmi wimbo wangu wa tatu wa injili kwa njia ya sauti (MP3):
๐ŸŽต โ€œNikipost Facebook Nimeokoka Inawauma Nini?โ€
๐ŸŽค By Lupawa Story โ€“ ujumbe wa ujasiri na ushuhuda wa wokovu!

โžก๏ธ K**a umebarikiwa na nyimbo zangu zilizopita, basi huu wa tatu ni moto wa kiroho! ๐Ÿ”ฅ

โœ… Tafadhali sikiliza,
โœ… Toa maoni yako,
โœ… Shirikisha na wengine,
โœ… Na tuendelee pamoja katika huduma hii kwa utukufu wa Yesu Kristo!

๐Ÿ“ Safari ya huduma inaendelea โ€” na wewe ni sehemu muhimu!
๐Ÿ‘‡ Sikiliza hapa (MP3 link):๐Ÿ“ฅ[https://youtu.be/PiV32tPR_l4?si=D4XE3n8co3zF9yYLMP3 yako]

27/02/2025

Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

~Yakobo 3:18

22/02/2025

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

~Mathayo 28:19-20

20/02/2025

Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu.

~Mithali 14:23

19/02/2025

Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.

~Ufunuo wa Yohana 22:21

17/02/2025

Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe.

~Zaburi 16:1

Nawe uzishike amri za Bwana, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha.~Kumbukumbu la Torati 8:6
16/02/2025

Nawe uzishike amri za Bwana, Mungu wako, upate kwenda katika njia zake, na kumcha.

~Kumbukumbu la Torati 8:6

Address

Maritime
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lupawa story posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category