12/09/2026
There is this lady ameconfess kwangu leo morning akiniuliza k**a whatever she did was right. Ameniambia kuwa kuna day aliona bwana yake akichat na mrembo, then call ikaingia kwa simu ya bwana yake, akasikia ilikuwa mwanamke anatetesha bwana yake then bwana akatukana huyo mwanamke kwa simu na akamkatia simu. So madam akaamuwa kuuliza bwana yake kuwa huyo mwanamke kwa simu ni nani, boychild akamtukana sana madam akimwambia ashughulike na mambo yake almost kumpiga. So madam akajijaza na kutaka kumpokonya simu boychild akaresist na kumpiga kofi. So madam akajuwa tu hapa boychild anamcheza na yeye akaamuwa kufanya revenge, akafuatilia jamaa fulani daktari alikuwa akimkatia but madam anamkataa. So akaamuwa kumkubalia huyo daktari chance hadi she had made up her mind kuenda kulala na yeye before bwana yake ashike simu yake na kusoma text akiona messages. The guy got a taste of his own medicine ikamuuma sana ndio akajuwaa kuwa kumbe wife wake pia ni attractive kwa wanaume wengine nje, so boychild alihumble na kuomba msamaha. Madam akaniambia kuwa she was willing kuenda kulala na huyo daktari if it were not for the husband kuona hizo text na alifanya makusudi kuziwacha ili bwana yake aone na imuume ndio afanye vile anataka sasa juu madam alikuwa amechoka. So she asked me if whatever she did was right? Mimi juu sio mshauri wa ndoa, i just told her that she was not right at all. Sio lazima ulipe ubaya kwa ubaya, you could just approach the husband in a polite manner baadae temper ikicool ama k**a atakataa kukuelewa na kukusikiza, you can choose to be you. Unajuwa kuna msemo wa kizungu unasema, "if the brain lacks sense, the body bares the consequences." Hapo sio kusolve ukiamuwa kufanya revenge kwa kulala na mwanaume mwengine, infact you are making the matters worse, what if anything happens huko na huyo jamaa, what if ugonjeke, what if upate mimba na jamaa akuruke, alot can happen in that moment. Ladies, don't let your bodies suffer just to prove a point to a man!