Purity gospel singer

Call Contact the business

Purity gospel singer Gospel Artist

Hii nyimbo yangu mpya ipo YouTube gusa Link uisikilize na usisahau ku subscribe kulike kushere na kucomment ukifanya hiv...
06/08/2026

Hii nyimbo yangu mpya ipo YouTube gusa Link uisikilize na usisahau ku subscribe kulike kushere na kucomment ukifanya hivyo utakuwa umemsapot sana na Mungu atakubariki

Ndugu zangu naomba mnisapoti kwa kusikiliza nyimbo yangu mpya ipo YouTube gusa ukaisikilize usisahau ku subscribe kulike...
06/08/2026

Ndugu zangu naomba mnisapoti kwa kusikiliza nyimbo yangu mpya ipo YouTube gusa ukaisikilize usisahau ku subscribe kulike kushere na kucomment ukifanya hivyo utakuwa umemsapot sana na atakubariki

Tusimameni imara na tushirikiane kwa upendo ili injiri isonge mbele
18/01/2024

Tusimameni imara na tushirikiane kwa upendo ili injiri isonge mbele

Ningependa kuwatakia heri ya mwaka 2024 watu wanguHappy New Year Mungu asimame nasi leo hata milele
01/01/2024

Ningependa kuwatakia heri ya mwaka 2024 watu wangu
Happy New Year Mungu asimame nasi leo hata milele

30/12/2023

Akhasante Mungu kwa huuu uzima ulionijalia mimi na wale wote tuliojaaliwa kuina siku ya leo sote kwa pamoja inatupasa kumshukuru Mungu kwa kusema Ahsante Mungu

Ndugu jamaa na mashabiki zangu  ningependa uwaambia kwamba leo nitakuwa na mahojiano Anguo fm kuwanzia saa 12 jioni leo ...
20/10/2023

Ndugu jamaa na mashabiki zangu ningependa uwaambia kwamba leo nitakuwa na mahojiano Anguo fm kuwanzia saa 12 jioni leo kwa hiyo nakuomba mjiunge nami ifikapo mida hiyo

Ukiomba kheri na baraka pia usisahau kuomba hekma kwani ndio njia na msingi uliobora wa kukupeleka kwa Mungu
03/08/2023

Ukiomba kheri na baraka pia usisahau kuomba hekma kwani ndio njia na msingi uliobora wa kukupeleka kwa Mungu

16/06/2023
13/06/2023

Purity Mwanahawa ikitumbuiza katika Kanisa la Kilele

Address

Mwatate
Mwatate

Telephone

+254769917260

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Purity gospel singer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Purity gospel singer:

Shortcuts

Share

Category