24/09/2022
Born Genious
Kuzaliwa kumbe ni bahati buh kuget 6 by 6 ni lazima,Tyme oljaaš¤«Nimerudi na energy niite Samson knowledge nimekubebea utanimistake na Solomon.Sinanga beef coz me si chef.Mi ni lucky EmmaScarlvitz.Nadai kuwa rich juu niko na wings to fly sema equity,nadai kuzijaza KCB ady wanione KBC channel ya mwananchi.Cjafika hapa juu ya fame buh si nyi nyote mnajua only Jah amenifikisha hapa.Mko famous sijawa jikata ata nikioga na sabuni ya panga so haters mtaachana siezi taka mkufe tumieni Life Buoy na mkuwe sober ady mkitumia Bar soap ilikuwa mic test si one yngu alafu mike 2 kaa we ni myoung kwa mistari cjui ufanye ADULTERY
Follow me: J***y the Poet
The Master Rhymer