Mr Hassi # at ha zoou

Call

Mr Hassi # at ha zoou Artist

08/11/2021
Nineliavwathiwanga,  mpakangoro ifume Henaletuithanga, tharinethithomieNathikatonge havaghanga, kutineoghiwe Ambumrungu ...
27/10/2021

Nineliavwathiwanga, mpakangoro ifume
Henaletuithanga, tharinethithomie
Nathikatonge havaghanga, kutineoghiwe
Ambumrungu etepanga, itinihangaike

Athani thithomie, nthomeshavana vangu
Hetha vana andikee, uuurithiwangu
Uko nekirafwae, vathome viteto vyanguu
Mburi vathi ghumbwee, ahahangu netue

Ila vantu twaomana mburi yavanashule
Tetuenda kukedhijana, nikuvechana Thamangimae
Mikundanyi najotehena, nekitonga kukashamie
Ambu vantu kuomana, mihuvo thikundiee

Baba chegho, tuenda lukundo
Ekonda iboho, mbighenyundo
Tumanye twereho, Tung'olemafundoo
Tuthitonge lubegho, kuongeja mtatho

Vadhimatuokemetho, nailiithanga layavo
Ambuthienda luitho, yo Mpaka yavo
Tuneomana kimbitho, kilahecha hethua
Matokeo nikwamwevo, kukonda ili iboho

Ccm oye oye,chamachenye mageuziOye ccm oye, chama chawachapakaziWanachama wote hoye,jumlanaviongoziChamachetumapinduzi, ...
17/10/2021

Ccm oye oye,chamachenye mageuzi
Oye ccm oye, chama chawachapakazi
Wanachama wote hoye,jumlanaviongozi
Chamachetumapinduzi, ccm ndiochama

Chama kinajenga umma, uchumi wenye makuzi
Dira ya uchumi hima, kwambiu ya hapakazi
Amani na usalama, ndio yetu maamuzi
Chama chetu mapinduzi, ccm ndio chama

Chama tanu ndio chanzo, pia afro shirazi
Kuwang'oa hapo mwanzo,wakoloni walowezi
Ccm ndio nyenzo, na bora kwauongozi
Chama chetu mapinduzi, ccm ndio chama

Vingine vya maigizo, vinasera pandikizi
Vinavuma kwa mizozo,siasa za uchochezi
Sikiza zao gumzo, jukwaani wamaizi
Chama chetu mapinduzi,ccm ndio chama

Wapinzani hukubali,siosiri wako wazi
Ccm iko mbali, wafanyeje hawawezi
Ccm niyakweli, chama bora kwamalezi
Chama chetu mapinduzi, ccm ndio chama

Nimeujenga msingi , vuchama mpaka UsangiNimasafatena mengi, katu wangu sikuchungi Lisiwe lakuchangi , tukauvunja msingi ...
05/10/2021

Nimeujenga msingi , vuchama mpaka Usangi
Nimasafatena mengi, katu wangu sikuchungi
Lisiwe lakuchangi , tukauvunja msingi nasema wewe niwangu , tena wangu wathamani
We we wangu wathamani , fikra zangu sipingi
Wasije kukurubuni , kwasababu ya shilingi
Tukakosana ndani, kumbe vishawishi vingi
Nasema wewe niwangu tena wangu wathamani
Mwanamke stara , jisitiri kwa ushungi
Hukuwa muuzasura ,nimekupendea vingi
Chunga usije nikera, kukaa na mashangingi
Nasema wewe niwangu , tena wangu wathamani
Wangu nipende kwadhati, ninamakovu mengi
Walikuja wasaliti, tena kwambwembwenyingi
Wakalinyoosha goti ,tena namatusi mengi
Nasema wewe niwangu ,tena wangu wathamani
Wewe kwangu ni wewetu, kwawengine siwakengi
Nahisi jembe nibutu, nikikumbuka wadangi
Kamwe sitathubutu ,kukwepa vigingi
Nasema wewe niwangu , tena wangu wathamani

Nimeujengamsingi, vuchama mpakausangiNimasafatenamengi, katuwangu sikuchungiLisiwe lakuchangi,Tukauvunja msingiNasema we...
05/10/2021

Nimeujengamsingi, vuchama mpakausangi
Nimasafatenamengi, katuwangu sikuchungi
Lisiwe lakuchangi,
Tukauvunja msingi
Nasema wewe niwangu, tena wangu wathamani
We we wangu wathamani, fikrazangu sipingi
Wasije kukurubuni, kwasababu yashilingi
Tukakosana ndani, kumbe vishawishi Vingi
Nasema wewe niwangu, tena wangu wathamani
Mwanamke stara, jisitiri kwaushungi
Hukuwa muuza sura, nimekupendea Vingi
Chunga usije nikera, kukaa namashangingi
Nasema wewe niwangu, tena wangu wathamani
Wangu nipende kwadhati, ninayo makovumengi
Walikuja wasaliti, tena kwambwembwe nyingi
Wakalinyoosha goti, tena kwamatusi mengi
Nasema wewe niwangu, tena wangu wathamani
Wewe kwangu niwewetu, kwawengine siwakengi
Nahisi jembe nibutu , nikikumbuka wadangi
Kamwesitathubutu, ilikukwepa vigingi
Nasema wewe niwangu, tena wangu wathamani

28/09/2021

Shadowz tisha sana mdogo wangu

Ukizingatia muda na kumtegemea mungu kilakitu kinakuwa sawa
24/09/2021

Ukizingatia muda na kumtegemea mungu kilakitu kinakuwa sawa

Address

Arusha
Arusha

Telephone

+25767283582

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Hassi # at ha zoou posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category