Arizona Real Estate

Arizona Real Estate Kampuni inahusika na uuzaji,ununuzi, usimamizi na upangishaji wa mali isiyohamishika nchini Tanzania.

Tangu kuanzishwa kwake kampuni imekuwa ikifanya vizuri na wengi wamepata makazi ya bei nafuu kupitia sisi.

Its happening now, join property owners in town by posess land as your assert. We've farms and plot in Kikatiti,Maji ya ...
16/12/2025

Its happening now, join property owners in town by posess land as your assert. We've farms and plot in Kikatiti,Maji ya chai, Njiro,Shangarai,Kikwe,Maroroni nk please Dial # 0767270189 to place a booking now

Epuka uzee usio na heshima, wekeza sasa! Tupigie 0767270189
13/12/2025

Epuka uzee usio na heshima, wekeza sasa! Tupigie 0767270189

unechoka kupanga? au unataka kurogwa hapo mjini? wahi mashamba sasa kuepuka hayotunakwenda site tena kesho piga simu sas...
13/12/2025

unechoka kupanga? au unataka kurogwa hapo mjini? wahi mashamba sasa kuepuka hayo
tunakwenda site tena kesho piga simu sasa
Tuna mashamba na viwanja maeneo mbalix2 km Njiro,East Africa, Kisongo, Burka, Kikwe, Maji ya Chai,Kikatiti nk piga simu sasa tuende site
# 0767270189

Karibu viwanja vya makazi     Tuna apartment za kupangisha kwa ajili ta makazi ndani na nje ya Arusha!Dial  # 0767270189...
13/12/2025

Karibu viwanja vya makazi




Tuna apartment za kupangisha kwa ajili ta makazi ndani na nje ya Arusha!

Dial # 0767270189
Mashamba na Viwanja Arusha
0746 200 317Arizona Real Estate

14/11/2025

Tupo site, kaa mkao wa faida

BiasharaNyumba hii inauzwa ipo KIAUmbali toka lami ni km 1Nyumba ilikuwa lodge na inauzwa na furniture zilizopoBei ya ny...
12/05/2023

Biashara
Nyumba hii inauzwa ipo KIA
Umbali toka lami ni km 1
Nyumba ilikuwa lodge na inauzwa na furniture zilizopo
Bei ya nyumba ni 250M
Wahi biashara ni ya moto sana
Piga simu 0746200317

Kwa niaba ya Kampuni ya Arizona real estate,Bodi ya Wakurugenzi ikiongozwa na Director Mr Humphrey inawatakia Waislamu w...
22/03/2023

Kwa niaba ya Kampuni ya Arizona real estate,Bodi ya Wakurugenzi ikiongozwa na Director Mr Humphrey inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ramadhani Kareem

Tupo kukuhudumia
07/12/2022

Tupo kukuhudumia

Kwa niaba ya Arizona Real Estate Tunatoa pole sana kwa familia za wafiwa...Manusura wote tunawaombea wapone haraka.Mwang...
06/11/2022

Kwa niaba ya Arizona Real Estate
Tunatoa pole sana kwa familia za wafiwa...Manusura wote tunawaombea wapone haraka.
Mwanga wa milele iwape eeh Bwana,wapumzike kwa amani

*JAMBO LA KWANZA LA KUZINGATIA UNAPO NUNUA KIWANJA* _*Eneo (location)*_ Hili ndio jambo la kwanza kabisa unalopaswa kuzi...
27/10/2022

*JAMBO LA KWANZA LA KUZINGATIA UNAPO NUNUA KIWANJA*

_*Eneo (location)*_

Hili ndio jambo la kwanza kabisa unalopaswa kuzingatia sana unapo taka kununua Ardhi ama kiwanja. Ni muhimu kujifunza tabia za eneo unalotaka kununua, fanya utafiti wa upatikanaji wa huduma mfano za elimu, afya, masoko na uwezekano wa usafiri kutoka eneo hilo kufika maeneo mengine ama ufikaji kwenye barabara kuu. Haya yata athiri sana maisha yako endapo huduma hizo zitakuwa hafifu ama hazitapatikana zitaongeza gharama ya maisha.



Karibu Arizona real estate company kwa huduma na ushauri kuhusu Viwanja vya makazi na Biashara.

Ofisi zetu
Lexo Oil Energy
Kimandolu
Cont 0746200317

Kwa wateja wetu wa site siku ya jumamosi, utaratibu ni kukutana ofisini Saa nne k**a tulivyokubaliana..... K**a utahitaj...
27/10/2022

Kwa wateja wetu wa site siku ya jumamosi, utaratibu ni kukutana ofisini Saa nne k**a tulivyokubaliana..... K**a utahitaji kuungana nasi unaweza kubook site visit kupitia 0746200317.
Viwanja vyetu
# # # # #

biasharajengo linauzwa kijenge ya juubei m70nyumba inauzwa arumerubei m45kiwanja kinauzwa arumeruukubwa 20x60=35m20x30=2...
20/10/2022

biashara
jengo linauzwa kijenge ya juu
bei m70

nyumba inauzwa arumeru
bei m45

kiwanja kinauzwa arumeru
ukubwa 20x60=35m
20x30=20m

duluti serena
20x30=35m
+255 746 200 317

Address

Sekei
Arusha
2300

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arizona Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Arizona Real Estate:

Share

Category