ADO Marketing & Property Ltd

ADO Marketing & Property Ltd We make it Happen

03/08/2026

πŸ“ Elimu sahihi ndiyo msingi wa umiliki salama wa ardhi.

πŸ“ž Unahitaji ushauri au huduma za kitaalamu kuhusu masuala ya ardhi? Wasiliana nasi leo.

πŸ“² Piga simu au WhatsApp: 0689524151
πŸ“§[email protected]

01/08/2026

Je unafahamu hatua za kufanya Transfer ?

01/08/2026

πŸ“ Kila hatua kubwa ya maendeleo huanza na kipimo sahihi.

🏑 Kabla ya kujenga au kuendeleza kiwanja chako, hakikisha mipaka yake inafahamika kwa usahihi.

πŸ“ Mipaka sahihi = Umiliki wenye uhakika.
βœ… Upimaji sahihi = Maendeleo salama.

Tunatoa huduma za upimaji wa viwanja kwa usahihi, uaminifu na viwango vya kitaalamu ili kukusaidia kulinda uwekezaji wako wa ardhi.

πŸ“² Wasiliana nasi leo kwa huduma bora za upimaji wa viwanja.

27/07/2026

Je, unajua kuwa unaweza kupoteza mamilioni ya shilingi kwa kununua kiwanja bila kufanya uchunguzi wa kitaalamu?

Kabla ya kufanya maamuzi ya kununua ardhi au kiwanja, hakikisha umejiridhisha kuhusu:

βœ… Umiliki halali wa ardhi.
βœ… Mipaka sahihi ya kiwanja.
βœ… Ukubwa halisi wa eneo.
βœ… Matumizi ya ardhi (Makazi, Biashara, Kilimo n.k.).
βœ… Uwepo wa migogoro.
βœ… Hali ya eneo na ufaafu wake kwa ujenzi.
βœ… Upatikanaji wa barabara na huduma muhimu.

ADO MARKET AND PROPERTY Ltd. tunakusaidia kufanya uchunguzi wa kitaalamu kabla ya kununua ardhi ili uwekezaji wako uwe salama na wenye uhakika.

Wasiliana nasi leo

πŸ“ž 0689524151

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃
11/07/2026

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃  ndio kampuni bora zaidi na yenye Taarifa zaidi
11/07/2026

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃 ndio kampuni bora zaidi na yenye Taarifa zaidi

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃  kila siku inafatilia  kwa karibu WIZARA YA ARDHI  inavyofanya kazi
11/07/2026

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃 kila siku inafatilia kwa karibu WIZARA YA ARDHI inavyofanya kazi

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃  ni sehemu ya uhakika zaidi
07/07/2026

π€πƒπŽ πŒπ€π‘πŠπ„π“πˆππ† & ππ‘πŽππ„π‘π“π˜ 𝐋𝐓𝐃 ni sehemu ya uhakika zaidi

Saba saba Day
07/07/2026

Saba saba Day

Unachangamoto gani kwenye Ardhi?
07/07/2026

Unachangamoto gani kwenye Ardhi?

Address

P. O. Box 54234 Mkulima House, Mabibo Mkabala Na Mabibo Hostel Stand Via Mandela Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ADO Marketing & Property Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share