Esotech_company

  • Home
  • Esotech_company

Esotech_company Elimu ya kukupatia manufaa katika maisha yako, ni elimu ya kiteknolojia ya habari, mtu wa aina yoyot

WATAALAMU KUTOKA ESOTECH COMPANYWANAKULETEA MADARASA HAYA MAKINI ILI UWEZE KUJIFUNZA ELIMU HII KWA NJIA RAHISI NA ILIYOB...
24/07/2022

WATAALAMU KUTOKA ESOTECH COMPANY

WANAKULETEA MADARASA HAYA MAKINI ILI UWEZE KUJIFUNZA ELIMU HII KWA NJIA RAHISI NA ILIYOBORA ZAIDI

JE, UNATAMANI KUINGIA DARASANI UPATE ELIMU HII LEO?

JE,UNATAMANI KUMILIKI WEBSITE, MFUMO AU MOBILE APP YAKWAKO BINAFSI?

NIRAHISI SANA UKIAMUA KUWA PAMOJA NA SISI LEO!
wasiliana nasi whatsapp
https://wa.me/message/X6GQOLZN5YD2B1

KARIBU ESOTECH COMPANY
life is technology

Leo hii ntakwambia mambo kuhusu umuhimu wa kuwa na tovuti katikabiashara yako au huduma yoyote ile:1. 93% YA MAAMUZI YA ...
13/01/2022

Leo hii ntakwambia mambo kuhusu umuhimu wa kuwa na tovuti katika
biashara yako au huduma yoyote ile:

1. 93% YA MAAMUZI YA MTEJA KUHUSU MANUNUZI HUANZIA MITANDAONI:
Ili kuweza kupata wateja wapya, huna budi kuelewa watu
huenda wapi kutafuta vitu k**a suppliers, bidhaa na huduma
mbalimbali kabla ya kufanya manunuzi.

2. UWELEDI (PROFESSIONALISM)
K**a una malengo ya kuifanya biashara yako iwe kubwa duniani, halafu
bado huna tovuti rasmi, jua kuna sehemu kubwa ya soko haitakupa
kipaumbele watakapokuwa na uhitaji wa huduma/bidhaa ulizonazo.

3. KUPATIKANA KWA URAHISI
Hebu fikira ila ahueni ya kupata kila unachokihitaji kwa urahisi,
tena kupitia katika simu yako tu iliyo kiganjani kwako.

4. TANGAZO LA BURE MUDA WOTE
Tovuti yako inapokuwa hewani, maana yake biashara yako ipo wazi
na inajitangaza muda wote na kufika sehemu zote duniani ambapo
huduma ya internet inapatikana.

5. KUTENGENEZA MABALOZI (TESTIMONIALS)
Nafahamu wafanyabiashara wengi ambao hulazimika kuonyesha
shuhuda/testimonials katika kurasa zao mara kwa mara ili
kuendelea kupata wateja wapya zaidi, ni jambo jema kabisa.

6. UAMINIFU (TRUST)
Hamna kitu muhimu katika uendeshaji wa biashara na kukuza
mahusiano na mteja k**a UAMINIFU.

7. THAMANI INAYODUMU
Uzuri/Faida moja muhimu kuhusu tovuti ni kwamba, unapoitengeneza
una uhakika wa kuimiliki milele na kuifanyia marekebisho muda wowote
itakapohitajika kufanya hivyo.

8. HUDUMA BINAFSI YA MSAADA KWA WATEJA
Tovuti yako inapokuwa hewani 24/7 una uhakika na kutoa huduma bora
kwa mteja mmoja mmoja kuhusu maulizo ya huduma/bidhaa ulizonazo, bei,
ushauri nakadhalika.

ZINGATIA HILI:
Katika ulimwengu wa kisasa wa Dijitali, ili kutengeneza nafasi ya
kupata wateja zaidi huna budi kuwa na Tovuti hai itakayobeba taarifa
muhimu k**a jina la biashara, anuani, mawasiliano na maudhui kuhusu
huduma na bidhaa zako. Zaidi, weka pia matumizi ya SEO kuongeza kasi.

Jipatie design ya cover ya kitabu chako kwa bei nafuu kabisa sawa na bure.EsoTech tupo kwa ajili ya kukusaidia,unapenda ...
24/11/2021

Jipatie design ya cover ya kitabu
chako kwa bei nafuu kabisa sawa
na bure.

EsoTech tupo kwa ajili ya kukusaidia,
unapenda kuwa unatengeneza mwenyewe
karibu katika madarasa yetu ya
GRAPHICS DESIGN

Unashida na kupata, kutengenezewa
cover ya kitabu chako,

Wasiliana na sisi whataspp
bonyeza link hii
https://wa.me/message/X6GQOLZN5YD2B1

Moja ya mambo ambayo yanasumbua sana akili za watu wengi ni namna ya kuwa na pesa nyingi na kuwa matajiri baadae,Kuna ma...
23/11/2021

Moja ya mambo ambayo yanasumbua sana
akili za watu wengi ni namna ya kuwa
na pesa nyingi na kuwa matajiri baadae,
Kuna mambo mengi sana ambayo mtu unaweza
kuyafanya na kuyawaza yatakayo kusaidia
kufanikiwa katika maisha

Lakini kufanikiwa hakulandani kabisa na
mtu kuwa pesa nyingi na mali nyingi ndo
useme kwamba mtu huyo kafanikiwa, kitu cha
msingi ambacho mtu unatakiwa ukielewe,
ni kwamba kila mtu huwa ni mgonjwa
wa ugonjwa huu wa umaskini Ukweli
kuhusu Ugonjwa wa umaskini Ugonjwa
wa umaskini ni ugonjwa unaotuathiri
watu wengi sana leo!

Usipo tambua kuwa wewe na mimi tu
wagonjwa waugonjwa huu wa umaskini
ni ngumu kupata tiba, k**a vile
ugonjwa wa Malaria au ugonjwa
wowote asivyoweza kupata tiba
k**a huta fahamu ni ugonjwa gani
unamsumbua "Asiye kubali kshindwa
si mshindani" Kubali kuwa umeshindwa
na ujipange kwa ajili ya kukabiliana
nalo kwa kasi mpya.

Umaskini sio kujidhalilisha,
ila ni uchaguzi wa maisha
unaotukumba wengi, k**a umaskini
ni uchaguzi wa maisha kumbe kuna
jambo ambalo hatujalifahamu ili kubadi

KWA ANAYEHITAJI KITABU HIKI KINAPATIKANA KWA Tsh.1500 TU, POPOTE ULIPO NAMBA YA MALIPO JINA NI ERICK PHILEMON, UKISHWA FANYA MALIPO WASILIANA NASI WHATSAPP BONYEZA LINK HII https://wa.me/message/X6GQOLZN5YD2B1

Elimu tunayokupatia kutoka kwetuinafaida nyingi ukilinganisha na elimuzingine zinazotolewa na taasisi zingineElimu zetu ...
16/11/2021

Elimu tunayokupatia kutoka kwetu
inafaida nyingi ukilinganisha na elimu
zingine zinazotolewa na taasisi zingine

Elimu zetu ni:-
1.Nmana ya kutengeneza website(HTML,CSS,JAVASCRIPT na PHP)
2.kuwa mtaalamu wa graphics design (photoshop)
3.Kuwa mtaalamu wa programming(C na C++)

Faida za kujifunza pamoja na sisi
1.Kukupatia ujuzi na sio cheti
2.Kuwa na connection na watu
3.Kujifunza kwa lugha ya kiswahili
4.Kuelewa kwa muda mfupi sana
5.Madarasa yetu niya jumla hayana mwisho
6.mada zinaisha lakini mazoezi na project haziishi
7.Kupata teknolojia mpya itakayo toka
8.Kuwa mtaalamu pamoja na esotech
9.Kuwa na uwezo wa kujitengenezea pesa yako mwenyewe
10.Kuwa na mbinu nyingi zaidi

Karibu sana katika madarasa yetu

Leo! Usipitwe na hii!
12/11/2021

Leo! Usipitwe na hii!

09/11/2021
Elimu ya kukupatia manufaa katika maisha yako, ni elimu ya kiteknolojia ya habari, mtu wa aina yoyote uanruhusiwa kujifu...
08/11/2021

Elimu ya kukupatia manufaa katika maisha yako, ni elimu ya kiteknolojia ya habari, mtu wa aina yoyote uanruhusiwa kujifunza.
na kwa wale wanafunzi wa vyuo, na ma shuleni wanaopenda kujifunza elimu hii, au unapata shida kwenye namna ya kuelewa lugha hizi za compyuta usiogope kuwasiliana nasi whatsapp 0622793002
https://youtu.be/KxHkd3944iE

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Esotech_company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Esotech_company:

  • Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service?

Share