Ruhettah Deals Hub

Ruhettah Deals Hub Buy β€’ Sell β€’ Invest πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Court Broker | Auctioneer
Your Trusted Property Marketplace
(3)

Karibu kwenye ukurasa wa Abdideol, kituo chako cha kuaminika kwa;-
Taarifa sahihi za Mauzo ya Nyumba na Viwanja Tanzania. Tunashughulika na:

🏠 Nyumba na Viwanja vinavyouzwa kwa Mnada wa Benki.
βš–οΈ Mali zinazouzwa kwa Amri ya Mahakama.
πŸ“ Mauzo ya kawaida ya Mtu Binafsi. Kila Tangazo lina Maelezo kamili, Picha halisi, Bei, na Mawasiliano ya uhakika. Lengo letu ni kukusaidia kupata Mali salama, zenye

Hati kamili, kwa Bei nafuu.

πŸ“’ Follow sasa ili usipitwe na OFA mpya kila wiki!
πŸ‘‰ Abdideol – Ofa Halisi, Uwazi Halisi.
🫴 Properties in Tanzania



+255 788 958 441

21/08/2026

🚨 USIMLAUMU MUUZAJI KABLA HUJATAFUTA!
Acha kuwaita wauza viwanja matapeli. Usipofanya utafiti kabla ya kununua, utakuwa umejitapeli mwenyewe. πŸ”₯

πŸ“Œ Hakiki nyaraka, umiliki na taarifa za eneo kabla ya kutoa pesa.
Uwekezaji mzuri unaanza na utafiti...
β—‡β—‡β—‡

》Fursa ya kiwanja ikija, usifikirie sana fanya SITE VISIT, hakikisha documents, kisha chukua hatua. 🏑πŸ”₯πŸ“ DEGE KIGAMBONI🚨 ...
21/08/2026

》Fursa ya kiwanja ikija, usifikirie sana fanya SITE VISIT, hakikisha documents, kisha chukua hatua. 🏑πŸ”₯

πŸ“ DEGE KIGAMBONI
🚨 Kesho tuna SITE VISIT!
Wewe utakuja au utaishia kusema β€˜nilikuwa naangalia tu’? πŸ˜‚

πŸ“ž 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡
#πŠπ’π πšπ¦π›π¨π§π’

🚨 UPDATES DEGE KIGAMBONI IMECHANGANYA! πŸ”₯ Viwanja 4 tayari vimeuzwa, na bado fursa ipo kwa wale wanaotaka kuwekeza mapema...
21/08/2026

🚨 UPDATES DEGE KIGAMBONI IMECHANGANYA!
πŸ”₯ Viwanja 4 tayari vimeuzwa, na bado fursa ipo kwa wale wanaotaka kuwekeza mapema.

πŸ“ Kesho tuna SITE VISIT β€” njoo ujionee eneo, mazingira na fursa yenyewe kabla hujafanya uamuzi.

🏑 Usisubiri kuona wengine wakinunua ndipo uanze kuuliza.

Wewe bado unasubiri nini? πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡
#πŠπ’π πšπ¦π›π¨π§π’

21/08/2026

πŸ–οΈ BAHARI BEACH β€” PRIME BEACH PLOT FOR SALE!
8,400 SQM | Half Fenced | Full Documents
πŸ’° USD $1.8M
The place where you can Invest for future Beach Hotel, Apartments, Hospital and Discover BnB For Commercial Projects.
πŸ“ž 0788 958 441

Seize the location. Secure the future.
β—‡β—‡β—‡

πŸ”₯ HII NI BIASHARA, SIO NYUMBA TU!πŸ“ Magomeni Mapipa – Mbele Morogoro RoadπŸͺ Fremu za biashara mbele | πŸ₯ Hospitali kubwa ya...
21/08/2026

πŸ”₯ HII NI BIASHARA, SIO NYUMBA TU!

πŸ“ Magomeni Mapipa – Mbele Morogoro Road
πŸͺ Fremu za biashara mbele | πŸ₯ Hospitali kubwa ya meno nyuma
πŸ›£οΈ Inatazama Morogoro Road & Magomeni Street
πŸ“„ Title Deed | Mmiliki mmoja

πŸ’° TZS Milioni 880

πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡

πŸ”₯ WEKEZA KWENYE JENGO LINALOKULETEA KODI!πŸ“ Lumumba St – Mnazi Mmoja, Kariakoo🏒 Ghorofa 5 | Apartments 10πŸ’΅ Apartments: 80...
21/08/2026

πŸ”₯ WEKEZA KWENYE JENGO LINALOKULETEA KODI!

πŸ“ Lumumba St – Mnazi Mmoja, Kariakoo
🏒 Ghorofa 5 | Apartments 10
πŸ’΅ Apartments: 800K/kila moja kwa mwezi
πŸͺ Frames 5: TZS 2M/kila moja kwa mwezi
πŸ“‘ Mnara wa simu: TZS 60M kwa mwaka

πŸ’° Bei: TZS Bilioni 5

πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡

πŸ”₯ FURSA ADIMU KARIOKOO! Hospital yenye jengo la ghorofa 5 pamoja na vifaa inauzwa ikiwa tayari kwa matumizi au biashara ...
21/08/2026

πŸ”₯ FURSA ADIMU KARIOKOO! Hospital yenye jengo la ghorofa 5 pamoja na vifaa inauzwa ikiwa tayari kwa matumizi au biashara nyingine.

πŸ“ Kariakoo – CCM Lumumba
πŸ₯ Hospital + Jengo + Vifaa vyote
🏒 Ghorofa 5
πŸ’° TZS Bilioni 3.5 β€” Mazungumzo yapo

πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡

🌊 ZANZIBAR INAITA! Plot ya beach yenye nafasi kubwa kwa uwekezaji wa kiwango cha kimataifa. πŸοΈπŸ“ Matemwe, ZanzibarπŸ“ SQM 2...
21/08/2026

🌊 ZANZIBAR INAITA! Plot ya beach yenye nafasi kubwa kwa uwekezaji wa kiwango cha kimataifa. 🏝️

πŸ“ Matemwe, Zanzibar
πŸ“ SQM 2,250 | πŸ–οΈ Dakika 4 tu hadi White Sand Beach
🏨 Inafaa kwa Hotel, Apartments au Villa
πŸ’° USD 65,000 β€” Mazungumzo yapo

πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡

🌴 FURSA YA UWEKEZAJI ZANZIBAR! Villas 4 zilizo fully furnished, tayari kwa biashara ya Airbnb. πŸ”₯πŸ“ Jambiani – Kibuyuni, Z...
21/08/2026

🌴 FURSA YA UWEKEZAJI ZANZIBAR!
Villas 4 zilizo fully furnished, tayari kwa biashara ya Airbnb. πŸ”₯

πŸ“ Jambiani – Kibuyuni, Zanzibar
🏑 Villas 4 | Swimming Pool | CCTV | Electric Fence
πŸ“ SQM 1,254 | 🌊 Mita 300 kutoka Main Road
πŸ–οΈ Dakika 10 kwa miguu hadi Beach

πŸ’° TZS Milioni 480 Mazungumzo yapo

πŸ“² 0788 958 441
β—‡β—‡β—‡

Unaandika Jina la Mama ako kwenye umiliki wa Mali zako. Halafu yeye anaolewa ndo utajua kwanini Jua linachomoza Masharik...
20/08/2026

Unaandika Jina la Mama ako kwenye umiliki wa Mali zako.
Halafu yeye anaolewa ndo utajua kwanini Jua linachomoza Mashariki na linazama Magharibi.πŸ€”
Unajua nini cha kufanya hapo... FUATILIAπŸ”₯βœ…οΈ
β—‡β—‡β—‡

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255717614894

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruhettah Deals Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ruhettah Deals Hub:

Shortcuts

Share