viwanja_nyumba_apartment

viwanja_nyumba_apartment TUNAKUSAIDIA KUMILIKI VIWANJA NA NYUMBA SEHEMU NZURI KISHERIA.

Professional 📷
28/01/2026

Professional 📷

📷
27/01/2026

📷

Una event na unahitaji kutunza kukumbuka za Event? tupo kwa ajili hiyo.
27/01/2026

Una event na unahitaji kutunza kukumbuka za Event?
tupo kwa ajili hiyo.

https://youtu.be/aEjbGKJIfhU?si=xW9sjpfvEHBuI4GYKARIBU kwenye Youtube channel hii. Hapa utajifunza juu ya Biashara, elim...
22/09/2023

https://youtu.be/aEjbGKJIfhU?si=xW9sjpfvEHBuI4GY

KARIBU kwenye Youtube channel hii. Hapa utajifunza juu ya Biashara, elimu ya fedha na uwekezaji.
Kwenye channel hii tumechambua Biashara mbalimbali, na kuna masomo zaidi ya 20. Bonyeza link kujifunza.

https://youtu.be/MC7-rFcfqc8?si=4gRWuobatlwXTla3Video mpya👆. Fedha itengenezee mkondo. Kwenye maeneo haya sita chagua en...
13/09/2023

https://youtu.be/MC7-rFcfqc8?si=4gRWuobatlwXTla3
Video mpya👆. Fedha itengenezee mkondo. Kwenye maeneo haya sita chagua eneo lako moja na komaa nalo kutengeneza fedha. Bonyeza link kutazama full video.

Tumia maeneo haya sita ili uweze kutengeneza fedha zaidi.

MBINU ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA.Pia nimeelezea Biashara mbalimbali Unazoweza kufanya kulingana na eneo ulilopo. Bonyeza...
14/08/2023

MBINU ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA.
Pia nimeelezea Biashara mbalimbali Unazoweza kufanya kulingana na eneo ulilopo. Bonyeza link 👇 kutazama full video.
Niachie maoni yako kwenye comments.

Kupata wazo Sahihi la biashara Imekua ni changamoto ya watu wengi sana. Hapa nimekuwekea mbinu unazoweza kuzitumia kupata wazo sahihi la biashara.

Unaamini kwenye laana? Kwamba ukilaaniwa huwezi kuivunja hiyo laana?Eti kwakua Mama alikulaani baasi hutakuja kufanikiwa...
27/07/2023

Unaamini kwenye laana? Kwamba ukilaaniwa huwezi kuivunja hiyo laana?
Eti kwakua Mama alikulaani baasi hutakuja kufanikiwa?
Nikwambie kitu, Laana ni maneno ambayo yanaambatana na imani. Ukiamini pia itakusumbua na itakupunguzia nguvu.
Ulimwengu wa roho una Mambo mengi, lakini moja ya siraha inayotumika ni maneno, Kutamka ndio maana hata Waganga na wachawi hawawezi kufanya mambo yao bila kutamka.
Sawa wewe walikutamkia mabaya. Je wewe umejitamkia mazuri?
Kila siku kumbuka kujitamkia, mazuri, kumbuka kujitabiria mazuri.
Maneno yanaumba, Tumia maneno yako kujiumbia mazuri.
Tembelea YouTube yangu kutazama full video Juu ya NAMNA YA KUKATAA NA KUVUNJA LAANA

https://youtu.be/5BAGloMnCEM

Bonyeza link hiyo 👆
Wewe unajitamkia nini?

Unaamini kwenye laana? Kwamba ukilaaniwa huwezi kuivunja hiyo laana?.Eti kwakua Mama alikulaani baasi hutakuja kufanikiwa?.Nikwambie kitu, Laana ni maneno am...

Sehemu ambayo VIJANA wengi tumeisahau na inaweza kutuingizia vipato vya uhakika ni YouTube.Tumewaachia wasanii tu, kumbe...
16/07/2023

Sehemu ambayo VIJANA wengi tumeisahau na inaweza kutuingizia vipato vya uhakika ni YouTube.
Tumewaachia wasanii tu, kumbe hata wewe unaweza Tengeneza content za Mapishi, Afya, design, urembo, ufundi, Biashara, maisha nk na baada ya muda ukaanza kutengeneza fedha.
Kufungua channel ni bure. Content ni hicho unachokijua.
Pia usifikirie sana malipo ya matangazo unapoanza kupost contents youtube maana utaona unahangaikia safari ambayo huifikii...

Kupitia youTube unaweza kuuza bidhaa na huduma zako kwa urahisi kuliko platform yoyote ile.... Maana kule watu wenye uhitaji wanatafuta may be ulichonacho wewe Ili watatue matatizo yao(YouTube ni search engine)... Hivyo hata kiwe kina gharama kubwa kiasi gani hawaoni shida kukigharamia na kukinunua

Mitandao mingine wewe ndio unatafuta wahitaji na kuwaforce ili wanunue.

https://youtu.be/3Bzet_Xjopc

KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO KIMARA STOP OVER KIWANJA KIPO UMBALI WA MITER 👉 500KUTOKA MORO ROADKIWANJA KINA UKUBWA WA ...
16/11/2022

KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO KIMARA STOP OVER

KIWANJA KIPO UMBALI WA MITER 👉 500

KUTOKA MORO ROAD

KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 👉 1800

BEI NI MIL 👉 35

HII NI SAWA NA BULE KABISA

HAPO WAWEZA KUJENGA ARPATIMENT NYUMBA YA MAKAZI NA MINGINE MENGI

KARIBU 0762815104

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MAKABE NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTERBEI MIL 👉 30KARIBU Mteja ...
28/10/2022

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MAKABE

NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO CHUMBA MASTER

BEI MIL 👉 30

KARIBU Mteja 0762815104

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MAGOMENI KAGERA NYUMBA NI YA PANDE  MBILI PANDE YA KWANZA NI VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHUMBA MAST...
27/10/2022

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MAGOMENI KAGERA

NYUMBA NI YA PANDE MBILI PANDE YA KWANZA NI VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHUMBA MASTER PUBLIC

NA PANDE YA PILI INA VYUMBA V3 SEBULE JIKO LA NJE NA PUBLC CHUMBA MASTER

ENEO NI SQM 👉450

BEI MIL 👉 300

NYUMBA IPO JILANI NA MORO ROAD
KARIBU 0762815104

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
OOOO

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when viwanja_nyumba_apartment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to viwanja_nyumba_apartment:

Share