25/07/2021
SEMDOI(T)REAL ESTATE CO. LIMITED
Inawatangazia wateja wote miradi mipya ya viwanja vilivyopimwa.miradi ipo KIGAMBONI sehemu zifuatazo :
👉1.KIGAMBONI KIBADA:
Mita moja ya mraba(sqm) Tsh 35,000
viwanja vipo mita 500 kutokea barabara ya lami iendayo ferry au toangoma
vimepimwa kuanzia sqm:
375 mpaka 576
kilomita 9 ukitokea ferry
kilomita 8 ukitokea darajani
👉2.KIGAMBONI DEGE MCHIKICHINI:
Mita moja ya mraba (sqm 12,000)
vimepimwa kuanzia sqm 280 mpaka 427
bei kuanzia mil 3 mpaka mil 7
(inategemea na ukubwa wa kiwanja)
👉3.KIGAMBONI DEGE SHIRIKISHI:
Mita moja ya mraba(sqm 1 tsh 10,000)
vimepimwa kuanzia sqm 300 - 500
👉BEI:Kuanzia mil 3,mil4, mil5
mradi upo kilomita 1 ukitokea barabara kubwa ya lami
👉4.KIGAMBONI DEGE MAGOROFANI:
Mita moja ya mraba(sqm 1 tsh 18,000)
mradi upo mita 600 ukitokea barabara kubwa ya lami iendayo cheka au ferry
kilomita 19 toka ferry(kivukoni)
kilomita 20 toka daraja jipya la mwalim nyerere
viwanja vimepimwa kuanzia:
mita za mraba(sqm )
189 mpaka 700
👉NOTE:
Uzuri wa viwanja vyetu vipo tambalale na huduma za kijamii k**a :
MAJI,HOSPITAL, UMEME, SHULE,
👉MALIPO:
Malipo ya awali ni 50% (as down payment)
kiasi kinachobakia utamalizia baada ya miezi mitatu(the rest to be paid within three months)
👉SITE VISIT (KUTEMBELEA MIRADI)
Hakuna malipo ya aina yeyote kwenda kutembelea miradi yetu
usafiri upo ofisini kwetu ni bure
MUDA:
kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 12:30 jioni
wasiliana nasi :
☎️0717600993
☎️0734219786
☎️0620716716
mail us👇
[email protected]
"SEMDOI(T)REAL ESTATE CO.LIMITED NDIYO SEHEMU PEKEE NA SALAMA"