Sangu nyumba & viwanja Tanzania

Sangu nyumba & viwanja Tanzania � "Tunauza na kupangisha nyumba na viwanja maeneo mbalimbali Tanzania kwa bei nafuu. Huduma ya harak

02/06/2026

Eneo zuri sana linauzwa Ulongoni B, lipo kona na limetazama barabara ya kutoka Gongo la Mboto kwenda Kinyerezi. Ukubwa wa eneo ni Sqm 2600, linafaa kwa uwekezaji wa biashara, maghorofa, godown, vituo vya huduma au makazi ya kisasa.

✅ Eneo la kona

✅ Limetazama barabara kuu

✅ Ukubwa Sqm 2600

✅ Fursa kubwa ya uwekezaji

💰 Bei: Milioni 650

📞 Maongezi yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.
0763 022 841 / O654963944

02/06/2026

🏠 HOUSE FOR SALE – GONGO LA MBOTO

Nyumba inauzwa Gongo la Mboto, ipo karibu na barabara kubwa. Eneo ni zuri kwa uwekezaji wa biashara mbalimbali k**a Guest House, Lodge au nyumba za kupangisha.

✅ Vyumba 13

✅ Karibu na barabara kubwa

✅ Inafaa kwa uwekezaji

✅ Miundombinu mizuri

💰 Bei: Milioni 170

📞 Maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati. 0763 022 841 / 0654 963 944

01/06/2026

🔥🔥🔥 FURSA # FURSA # FURSA🔥🔥

Ghorofa la kubomoa lipo katika eneo zuri la kibiashara

Lipo Gongo la mboto Limetazama kituo cha mabasi ya mwendo kasi

Muwekazaji karibu uwekeze

Bei milioni 700 maongezi yapo kidogo

Piga 0763 022 841 / 0654963944

01/06/2026

NYUMBA INAUZWA – GONGO LA MBOTO (KARIBU NA CHUO CHA KAMPALA)

Fursa nzuri ya makazi na uwekezaji! Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, vyote master, pamoja na jiko
Kwa sasa inapangishwa kwa kodi ya TSh 120,000 kwa mwezi.

💰 Bei: Milioni 33 🤝 Maongezi yapo

Wasiliana kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona nyumba

01/06/2026

FREMU 18 ZINAUZWA – GONGO LA MBOTO

Fremu 18 zinauzwa Gongo la Mboto,
zimetazama kituo cha mwendokasi
Eneo zuri kwa biashara na uwekezaji lenye fursa kubwa ya mapato ya kodi.

💰 Bei: Milioni 750 🤝 Maongezi yapo kidogo

Wasiliana kwa maelezo zaidi na kupanga kuangalia eneo.

24/05/2026

ENEO LINAUZWA – KAWE MZIMUNI 🏢

Eneo zuri sana la uwekezaji lipo Kawe
Mzimuni, limetazamana na maghorofa ya Mama Samia.

Ukubwa wa eneo ni SQM 718, lina nyumba pamoja na fremu za kutosha kwa biashara au uwekezaji mkubwa.

✅ Lina hati ya leseni ya makazi

✅ Mazingira mazuri na maendeleo makubwa

✅ Fursa kwa wawekezaji wa nyumba za kupanga, apartments au biashara

💰 Bei: Milioni 850

📞 Maongezi yapo kwa mnunuzi serious

20/05/2026

🏠 Nyumba mbili zinauzwa Msongola Senta zipo ndani ya fensi.

🏡 Nyumba kubwa ina: ✔️ Vyumba 3 vya kulala

✔️ Chumba 1 Master

✔️ Sebule kubwa

✔️ Jiko

✔️ Toilet ya public

📍Eneo zuri na linafikika kirahisi.

💰 Bei: Milioni 85 maongezi yapo.

📞 Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox au piga simu.

20/05/2026

🏠 Nyumba Inauzwa – Kisewe
Nyumba nzuri inauzwa eneo la Kisewe ikiwa na:

✅ Vyumba 6 vya wapangaji

✅ Vyoo vya public

✅ Jiko

💰 Bei: Milioni 48

📞 Maongezi yapo

Kwa mwenye uhitaji wa uwekezaji au makazi karibu inbox kwa maelezo zaidi.

12/05/2026

🔥 FURSA YA UWEKEZAJI SEGEREA SENTA 🔥

Fremu zinauzwa pamoja na nyumba mbili zilizopo ndani ya fensi 📍

✅ Eneo zuri kwa biashara na makazi

✅ Hati miliki ipo

✅ Karibu na huduma muhimu

💰 Bei: Milioni 350 maongezi yapo
📞 Kwa mawasiliano zaidi inbox/call.

12/05/2026

🏡 NYUMBA INAUZWA – MBAGALA

Nyumba nzuri inauzwa ipo ndani ya fensi karibu na barabara kuu.

✅ Vyumba 4

✅ Vyumba 2 Master

✅ Sitting Room

✅ Dining Room

✅ Public Toilet

✅ Eneo kubwa lenye nafasi ya kujenga
nyumba nyingine au vyumba vya kupanga

📍 Location: Mbagala

💰 Bei: Milioni 100 maongezi yapo
📞 Kwa anayehitaji awahi mapema.

0763 022 841 / 0654 963 944

Address

Dar Es Salaam
11101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sangu nyumba & viwanja Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category