12/10/2026
Consumer Choice Awards Africa (CCAA) (Consumer Choice Awards Africa ), inakujali hadi kwenye ndoto yako ya kumiliki kiwanja, kupitia ushirikiano mpya na kampuni ya Surveyed Plots Company Ltd, fursa ya kuitangaza biashara ya viwanja imepata jukwaa jipya, likilenga kuwafikia Watu wengi zaidi ndani na nje ya Tanzania.
Mwanzilishi na Afisa Mtendaji wa CCAA, Dkt. Diana Laizer, (Dr Diana (HC) ), ametangaza ubia huo akieleza kuwa kampuni ya Surveyed Plots imewavutia kutokana na uthabiti na umakini wake katika utendaji kazi, ushirikiano huo utahusisha shughuli mbalimbali za utangazaji, ikiwemo kupitia tuzo za CCAA zitakazofanyika Nchini Dubai mwaka huu.
✅✅✅
0656789965