Mtetezi Wa Rais Samia Suluhu Hassani

Mtetezi Wa Rais Samia Suluhu Hassani Viongozi WA nchi YETU ni LAZIMA waheshimiwe

Galatasaray  hawacheki na MTU YEYOTE yule Liverpool FC TAKE CARE
28/02/2026

Galatasaray hawacheki na MTU YEYOTE yule
Liverpool FC TAKE CARE

🔥🔥🔥
27/02/2026

🔥🔥🔥

Na ni kitu gani kikubwa umejifunza kupitia ChatGPT na kimekusaidia katika maisha ya kawaida Ili na sisi tukajifunze,,
27/02/2026

Na ni kitu gani kikubwa umejifunza kupitia ChatGPT na kimekusaidia katika maisha ya kawaida Ili na sisi tukajifunze,,

Dr SAMIA SULUHU HASSAN Ndie Rais aliyefanya mambo makubwa kuzidi Ma-raisi wote waliopita na hakika watanzania wanafurahi...
26/02/2026

Dr SAMIA SULUHU HASSAN Ndie Rais aliyefanya mambo makubwa kuzidi Ma-raisi wote waliopita na hakika watanzania wanafurahia uongozi wake
Kiufupi Huyu ni kiongozi Aliyetukuka
Asante Mungu kwa kutupatia kiongozi mwenye kujuwa kutatua matatizo ya nchi yetu pia ametupatia waZiri mkuu sikivu na mwenye uwezo mkubwa WA kujuwa na kutatua kero za WANANCHI
ASANTE MUNGU hakika TANZANIA umetuona Kwa JICHO LA tatu
AMEN 🙏🙏🙏
INSHALLAH 🙏🙏🙏🙏
Dr SAMIA SULUHU HASSAN Mitano TENA

Address

DAR ES SALAAM KARIAKOO -TANZANIA
Dar Es Salaam
194

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtetezi Wa Rais Samia Suluhu Hassani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category