Hans Viwanja Estate

Hans Viwanja Estate Ili kujipatia viwanja vyenye hadhi na ufanano na pesa yako fika kwetu ili tukupe kiwanja kwa bei safi

28/08/2023

Kibaha Soga km 12 toka Kongowe bei ni 500,000/ kwa 800,000/ ukubwa kuanzia 15×20 (300 SQM).

Ukichukua cha 500,000/ utaanza na 300,000/ kisha inayobak utalipa ndani ya Miezi 2 na ukichukua cha 800,000/ utaanza na 500,000 inayobak utalipa ndani ya Miezi 3.

Huku hakuna hati ya Wizara ila uhakika ni 100% kabisa.

Ntafute kwa namba 0622 368 818 kwaajil ya kukupeleka site.

28/08/2023

Kibaha picha ya ndege “Sofu” huku SQM ni sh 12,000/, 20×20 (400 SQM) sh 4,800,000/.

Ambapo ukianza kulipia utaanza na 30% 1,440,000/ kisha inayobak utalipa kidog kidog ndani ya Miezi 12.

Huduma zote za muhimu zipo Maji, Umeme, Zahanati na Hospital ni ya tumbi km 2 tu hadi Tumbi hospital.

Viwanja vimezungukwa na makazi ya watu na ukimalza kulipia tunakupatia na hati ya Wizara.

Usafiri huko ni wa uhakika daladala zatoka Mbezi mpaka huko.

Ntafute kwa mawasiliano zaidi 0622 368 818 na kuweka order ya kwenda site.

Vikindu Mwambao SQM 1 kwa sh 5000/ tu viwanja vinaanzia 20×20 na zaidi yaani SQM (400-600).Maeneo yote ni tambarale na v...
24/08/2023

Vikindu Mwambao SQM 1 kwa sh 5000/ tu viwanja vinaanzia 20×20 na zaidi yaani SQM (400-600).

Maeneo yote ni tambarale na vimezungukwa na makazi ya watu.

Ukichukua kiwanja cha ukubwa wa 20×20 SQM (400) sh 2,000,000/ utaanza na 30% ya bei saw na 600,000/ kisha inayobak utalipa kidog kidog ndani ya Miezi 15 ambako kila mwezi 94,000/ tu.

Huduma zote za kijamii zipo na viwanja viko karibu na kigamboni ambako toka site mpk kigamboni ni km4.

Nitafute kwa 0622 368 818 ili kwenda site kuona maeneo.

21/08/2023

Vikindu Mwambao SQM kwa 5000/ tu ni km 7 tu toka Vikindu center usafiri wa kwenda huko upo ni bajaj.

Viwanja vinaanzia SQM 400-600, mteja ataanza na 30% ya bei kisha utaendelea kulipa ndani ya Miezi 15 ukimalza kulipa utapata na hati ya Wizara.

0622368818 kwa maelezo zaidi

Viwanja vinaanzia SQM 400 hadi 600 na ukimalza kulipia unapatiwa na hati ya wizara.
21/08/2023

Viwanja vinaanzia SQM 400 hadi 600 na ukimalza kulipia unapatiwa na hati ya wizara.

Hans Viwanja Estate ni page maalumu ambayo itakuwa inakuletea taarifa kamili zinazohusu viwanja maeneo tofaut tofaut.Pia...
21/08/2023

Hans Viwanja Estate ni page maalumu ambayo itakuwa inakuletea taarifa kamili zinazohusu viwanja maeneo tofaut tofaut.

Pia mteja ataamua yey binafsi ni muda gani kwake sahihi wa kwenda kutembelea site zetu kabla ya kununua.

Viwanja vyetu vinapatikana Kibaha picha ya ndege (Sofu), Kibaha Soga Kipangege, Vikindu Mfurumwambao, Kisarawe, Bagamoyo n.k.

Mteja atawekewa utaratbu wa ulipiaji ambapo kuanzia Miezi 3, Miezi 12 hadi 15 kulingana na gharama za eneo husika.

Kumbuka viwanja vyetu vya Vikindu Mfurumwambao, Kibaha picha ya ndege na Kisarawe vina hati ya wizara unapokamilisha malipo.

Vikindu Mwambao
21/08/2023

Vikindu Mwambao

Kibaha Soga vimebaki 3 tu bei ni ileile 700,000/ ila utalipia installment ambapo utaanza kwa 400,000/ kisha inayobak una...
07/08/2023

Kibaha Soga vimebaki 3 tu bei ni ileile 700,000/ ila utalipia installment ambapo utaanza kwa 400,000/ kisha inayobak unalipa ndani ya Miezi 3 tu umemalza...

Usichelewe huu ndo muda wako

Karibu tukuhudumie viwanja vipo vchache ni Kibaha Soga huduma za kijamii zipo ndani ya Miezi 2 mpaka 3 tu ya ulipiaji. H...
02/08/2023

Karibu tukuhudumie viwanja vipo vchache ni Kibaha Soga huduma za kijamii zipo ndani ya Miezi 2 mpaka 3 tu ya ulipiaji. Hii ni zaidi ya kiwanja..

Umbali toka main road hadi site ni 3.5 km tu, huduma zote za kijamii zipo
02/08/2023

Umbali toka main road hadi site ni 3.5 km tu, huduma zote za kijamii zipo

31/07/2023

Hello wateja leo nakuletea offer ya viwanja kwa Vikindu viwanja vinaanza SQM 400-500 ambapo kwa SQM 1 ni sh. 5,000/ tu, ambapo hyo pia ukianza kulipia utaanza kwa 30% ya bei ya kiwanja kisha utalipia kidog kidog ndani ya Miezi 15.

Kiwanja cha ukubwa wa SQM 400 ambacho sawa na (20×20) utaanza na 600,000/ tu kisha inayobak utalipa kidog kidog hado Miezi 15.

Kumbuka viwanja vyetu vimepimwa na vina hati ukimalza malipo, huduma za kijamii zote zipo. Ni km 6 tu toka kilwa road au Vikindu center (kituo cha daladala) na 300m toka barabara kuu ya TARURA.

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Telephone

+255622368818

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hans Viwanja Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hans Viwanja Estate:

Share

Category