Balozi Dr Abbas Kombolela

Balozi Dr Abbas Kombolela Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Balozi Dr Abbas Kombolela, Real Estate, Dar es Salaam.

Dr. Godwin Ludwig Maimu (PhD), also known as Balozi Dr ABBAS wa KOMBOLELA, an economist, real estate consultant, and development finance expert with extensive experience in financial services, sales, Content Creator and Entertainment Personnel (Actor)

*Uwanja wa Ndege wa Kisasa Mikumi Kukamilika Novemba*Na Mwandishi Wetu, Morogoro Katika kufungua miundombinu zaidi ya ut...
30/09/2026

*Uwanja wa Ndege wa Kisasa Mikumi Kukamilika Novemba*

Na Mwandishi Wetu, Morogoro

Katika kufungua miundombinu zaidi ya utalii nchini, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, inakamilisha uwanja mwingine wa ndege wa kisasa utakaoleta mageuzi katika sekta ya utalii nchini.

Uwanja huo unaojengwa katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, lango muhimu la utalii unaounganisha Bara na Zanzibar, una urefu wa kilometa 1.8 na ukiwa na majengo ya kisasa ya kupokea na kuondokea abiria, jengo la zimamoto na kituo maalum cha hali ya hewa, unatumia teknolojia ya kisasa ya lami maalum (polymer) inayounda tabaka gumu linalodumu kwa zaidi ya miaka 15.

“Tulipopokea taarifa ya maandishi pale Wizarani mlionesha Novemba mwaka huu mradi huu muhimu utakamilika. Hakika nimefika hapa leo na nimejionea kazi nzuri mliyoifanya na nimejiridhisha kuwa kweli Novemba 15, 2026 mradi huu wote mtakuwa mmetukabidhi,” anasema Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, alipokagua mradi huo leo Septemba 29, 2026, Hifadhini Mikumi.

Viwanja vingine vitatu k**a hivyo vimekamilika ikiwemo Hifadhi ya Nyerere (1) na Hifadhi ya Ruaha (2). ❤️💞❤️

   ゚viralシ    🇹🇿
27/09/2026

゚viralシ 🇹🇿

21/09/2026

FITINA, ULAGHAI, UBABE NA KISASI KATI YA DAVID NA MAKUBI ABBAS NANI NI NANI?
📺 JAKAMOYO — KILA SIKU YA IJUMAA HADI JUMAPILI SAA 1:30 USIKU #

SinemaZetu Tanzania BongoMovies BongoSeries SwahiliSeries TanzaniaFilm TanzaniaMovies SwahiliMovies EastAfrica BongoFlava FilamuTanzania SeriesZaKiswahili TanzaniaEntertainment WasaniiTanzania MovieLovers SeriesLovers TVSeries AfricanCinema AfricanSeries EntertainmentTanzania DarEsSalaam TrendingTanzania TanzaniaTrending Usikose Kumekucha

21/09/2026

MJINI MIPANGO

MAKUBI ABBAS NA SADRA NANI ATAISHINDA HII FURSA? USIACHE KUTIZAMA TAMTHILIA YA JAKAMOYO KILA SIKU YA IJUMAA HADI JUMAPILI SAA 1:30 USIKU
Azamtv Sinema Zetu Chan. 106

21/09/2026

EPISODE 26A— JAKAMOYO
ABBAS MAKUBI ☝🏿👊🏽👊🏽👊🏽

Hatari, Hatari, Hatari dengarous Makubi Abbas autaka U CEO wa Kampuni, ya ZUBERI GROUP Wakili Msomi Atashawishika?
Usiache kufuatilia Jakamoyo ijumaa hadi jumapili saa 1:30 Usiku

JakamoyoEpisode18 AzamTV AzamMax SinemaZetu Tanzania BongoMovies BongoSeries SwahiliSeries TanzaniaFilm TanzaniaMovies SwahiliMovies EastAfrica BongoFlava FilamuTanzania SeriesZaKiswahili TanzaniaEntertainment WasaniiTanzania MovieLovers SeriesLovers TVSeries AfricanCinema AfricanSeries EntertainmentTanzania DarEsSalaam TrendingTanzania TanzaniaTrending

Usiudharau mwanzo mdogo,
15/09/2026

Usiudharau mwanzo mdogo,

03/09/2026
26/08/2026

ASANTE ASANTE ASANTE SANA MUNGU SIFA HESHIMA NA UTUKUFU NI VYAKO HATA SASA BADO WEWE NI MUNGU.Nakuomba Mungu uilaze Roho...
20/08/2026

ASANTE ASANTE ASANTE SANA MUNGU SIFA HESHIMA NA UTUKUFU NI VYAKO HATA SASA BADO WEWE NI MUNGU.

Nakuomba Mungu uilaze Roho ya Mama yangu mpendwa Solina Thomas Swalle ( Mrs. Dr Ludwig Godwin Maimu) mahali pema peponi mama nitakukumbuka daima uliyoyafanya maishani mwangu hayahesabiki wala hakuna yeyote chini ya jua awezae kuyafanya. Umeniachia zawadi kubwa ya kumtegemea Mungu nami nitasimama kwa uwaminifu kumtegemea Mungu tu. Lala salama mama Pumzika kwa amani “TUTAONANA BAADAYE”ASANTE MAMA🙏🏿🙏🏿🙏🏿ASANTE SANA MWENYENZI MUNGU KWA ZAWADI YA MAISHA YA MAMA YETU HAPA DUNIANI🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿MAPENZI YAKO YAMETIMIZWA NASI TUNAKUSHUKURU KWA MOYO MKUNJUFU.

ASANTE SANA

MHE. AGGREY MWANDRI - NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA NA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM ) NGAZI YA TAIFA HADI WILAYA KWA KUSIMAMA NASI KATIKA NASI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA MAMA YETU MPENDWA TULIYE MPENDA SANA LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI.
ASANTE
Ndugu:—
1. CDE MNEC - SULEIMAN MFINANGA -KILIMANJARO
2. MWENYEKITI CCM MKOA KILIMANJARO- HON BOISAFI
3. MNEC KATIBU CCM MKOA KILIMANJARO- NDG. MERCY MOLLEL
4. Wenyeviti, Makatibu Kamati za Siasa zote za Wilaya zote
5. SERIKALI: Mkuu wa MKOA na WILAYA Kilimanjaro Wote pamoja na Mawaziri wa wizara mbalimbali

6. WATUMISHI MBALIMBALI WA MUNGU

7. Ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wote mliotukimbilia kwa namna yeyote ile MUNGU AWABARIKI SANA NA KUWALIPA MEMA SAWASAWA NA MAPENZI YAKE

Address

Dar Es Salaam
14121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Balozi Dr Abbas Kombolela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category