04/09/2022
Wazungu wanasema SEEING IS BELIEVING.
Leo Goodhope Capital] tunakupeleka BUNJU MABWEPANDE.
UMBALI: Kiwanja kipo KILOMETER 6 tu kutoka barabara kuu ya BAGAMOYO ROAD.
SIFA: Kiwanja KIMEPIMWA na KINAHATI. Mahitaji Muhimu UMEME na MAJI yapo.
UKUBWA: Kiwanja kina Mita za Mraba 1098
BEI: TZS 23,000 kwa Mita ya Mraba. Maongezi yapo.
STATUS: AVAILABLE
Tupigie 0763400034 kwa mawasiliano zaidi na kupanga ratiba ya site visit. Au andika neno MABWEPANDE kwenye comments au DM tuanzie hapo.
KUMBUKA SEEING IS BELIEVINGš
Karibu Goodhope Capital] tunakusaidia kuanzia hatua ya kuchagua hadi kumiliki hayo yako mkononi.
GOODHOPE CAPITAL
REAL ESTATE MARKETING AND INVESTING.