Aeki Real Estate

Aeki Real Estate Aeki Real Estate helps clients find the right property for living or investment. Follow for verified property listings.

We specialize in buying, selling, and renting houses and land while providing transparent and reliable real estate services.

BEACHFRONT PLOT FOR SALE (ZANZIBAR)Location : FUNGU REFU MKOKOTONI, ZANZIBARLAND SIZE : 34.8 acresPrice : 2M dollarCall ...
21/04/2026

BEACHFRONT PLOT FOR SALE (ZANZIBAR)
Location : FUNGU REFU MKOKOTONI, ZANZIBAR
LAND SIZE : 34.8 acres
Price : 2M dollar

Call - 0718769664
WhatsApp - wa.me/255718769664
Email: [email protected]

UNAMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM NA UNAFIKIRIA KUIUZA?Usipoteze muda kusubiri wanunuzi bila uhakika.Tunakuunganisha na ser...
01/04/2026

UNAMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM NA UNAFIKIRIA KUIUZA?

Usipoteze muda kusubiri wanunuzi bila uhakika.
Tunakuunganisha na serious buyers wenye uwezo wa kununua haraka.
✔ Tunafanya marketing ya kisasa (online + offline)
✔ Tunapata wanunuzi waliothibitishwa
✔ Tunakusaidia kupata bei sahihi ya soko
Tuma ujumbe sasa au piga simu — nyumba yako inaweza kuuzwa mapema kuliko unavyofikiria.

“Kwa watu wachache wanaotafuta ubora…hii ni fursa ya kipekee Dar es Salaam.”Hii ni nyumba ya kifahari…iliyopo Kijichi, D...
25/03/2026

“Kwa watu wachache wanaotafuta ubora…
hii ni fursa ya kipekee Dar es Salaam.”

Hii ni nyumba ya kifahari…
iliyopo Kijichi, Dar es Salaam…
kwenye mazingira tulivu na yenye hadhi.
Imejengwa kwa ubora wa kisasa…
ikiwa na vyumba vitano vikubwa…
na bathrooms tano… zenye finishing ya premium.
Lakini kinachoitofautisha zaidi…
ni ukubwa wa eneo lake.
Mita za mraba elfu mbili mia tatu tisini na tano…
nafasi kubwa… kwa maisha ya kifahari… au matumizi ya uwekezaji.
Hii si nyumba ya kuishi tu…
ni asset yenye thamani inayokua kadri muda unavyokwenda.
Inafaa kwa watu wanaoelewa…
uwekezaji mkubwa…
na maisha yenye hadhi.
Title deed ipo tayari…
kwa transfer salama na ya haraka.
Bei ni shilingi bilioni moja pointi mbili.
Kwa wanunuzi serious pekee…
tunaandaa viewing binafsi kwa appointment.
Wasiliana nasi sasa…
kupata maelezo zaidi… au kupanga muda wa kuja kuona.
+255 718 769 664.”

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aeki Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share