Mumy J Chick Delight

Mumy J Chick Delight Tunajihusisha na uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kisasa pamoja na huduma za kutotolesha

13/04/2026

0655184452

05/04/2026

Popote ulipo tunakufikia

**RATIBA YA VIFARANGA* Kroiler 4,000/= 3 WEEKSKroiler 7000/= 6 WEEKSLayers Bei TSH 5000/= 2 WEEKSKROILER 6/4/2026Bei TSH...
03/04/2026

**RATIBA YA VIFARANGA*

Kroiler 4,000/= 3 WEEKS

Kroiler 7000/= 6 WEEKS

Layers
Bei TSH 5000/= 2 WEEKS

KROILER 6/4/2026
Bei TSH 2000/=

KROILER 14/4/2026
Bei TSH 2000/=

Wapo KROILER WA MIEZI 2 KWA 10,000

JOGOO WA MBEGU AU KULA KWA SH. 30,000

Mahali ni CTC MAPINGA - Kiembeni BAGAMOYO

*0655184452



Weka oda yako sasa upate huduma safi kutoka kwetu*

03/04/2026
Kroiler 2000 @ 1wasiliana nasi 0655184452
02/04/2026

Kroiler 2000 @ 1wasiliana nasi 0655184452

31/03/2026

Tunapokea order ya vifaranga umri siku 1 hadi kuku wakubwa wanapatikana

30/03/2026

Karibu kwenye ukurasa wetu rasmi! 🐣🐔
Sisi ni wataalamu wa uzalishaji na uuzaji wa vifaranga bora wa kuku pamoja na huduma za kutotolesha mayai kwa uhakika na ubora wa hali ya juu.

Tunajivunia kutoa:
✔️ Vifaranga wenye afya na nguvu
✔️ Huduma ya kutotolesha kwa teknolojia ya kisasa
✔️ Ushauri wa kitaalamu wa ufugaji

Lengo letu ni kukusaidia kufanikisha ufugaji wako na kukuza kipato chako kwa urahisi.
Wasiliana nasi leo ili uanze safari yako ya mafanikio katika ufugaji wa kuku! 📩📞

Address

Mbweni Kiembeni
Dar Es Salaam
14126

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mumy J Chick Delight posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category