ARDHI Nyumbani

ARDHI Nyumbani Wauzaji wa viwanja, mashamba, nyumba

VIWANJA VILIVYOPIMWA MAPINGA - BAGAMOYO-Umbali ni 300m kutoka barabara ya lami Bagamoyo road. Mandhari ni nzuri mnoooo.-...
23/06/2022

VIWANJA VILIVYOPIMWA MAPINGA - BAGAMOYO

-Umbali ni 300m kutoka barabara ya lami Bagamoyo road. Mandhari ni nzuri mnoooo.

-Huduma za kijamii k**a maji,umeme,shule zinapatikana kwa karibu sana, majirani wa kutosha wapo!

-Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.

-Bei Sh.30,000/= kwa square meter. Malipo miezi 6 ( mazungumzo yapo)

- Kuona mradi safari ni kila siku.

- Hati ni siku 90 baada ya malipo husika.

0656277525

Mradi upo KILUVYA kwa Komba, kilomita moja kutoka barabara kuu, upande wa kulia kutokea mbezi. (Hii ni wilaya ya UBUNGO)...
23/05/2022

Mradi upo KILUVYA kwa Komba, kilomita moja kutoka barabara kuu, upande wa kulia kutokea mbezi. (Hii ni wilaya ya UBUNGO)

Sqm 1 @ sh.20,000/= cash.

Sqm 1 @ sh.22,000/= instalments za miezi 3 Hadi 6.

Site siku yoyote na muda wowote.

Tuwasiliane kwa no. Hizo 0756 277525.
Karibu tukuhudumie.

VIWANJA VILIVYOPIMWA KIROMO - BAGAMOYO.🇹🇿Mradi upo KIROMO unashuka kituo Cha kibaoni. Unaingia ndani mkono wa kushoto uk...
10/05/2022

VIWANJA VILIVYOPIMWA KIROMO - BAGAMOYO.

🇹🇿Mradi upo KIROMO unashuka kituo Cha kibaoni. Unaingia ndani mkono wa kushoto ukiwa unatokea Dar es salaam.

🏠Kilomita 4 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo, unapita shule ya Sekondari kiromo.

🇹🇿Mradi umepakana na kituo Cha utafiti Chambezi, upande wa kulia.

🏠Huduma za kijamii zipo karibu ikiwemo umeme, shule ( shule ya secondary kiromo), barabara, maji n.k

💶SQM 1 @ sh.8,000/= , malipo miezi 15 flat rate.
Viwanja vinaanzia SQM 400 na kuendelea.

🆗Tunakwenda site jumamosi, hakiki safari mapema kabla ya siku husika.

💯Wasiliana nasi kwa 0756277525

VIWANJA VINAKOPESHWA NA UNALIPA KIDOGO KIDOGO...... HAKUNA RIBA WALA DHAMANA.VIWANJA VIPO KIBAHA - BOKO TIMIZA, KUTOKA T...
12/04/2022

VIWANJA VINAKOPESHWA NA UNALIPA KIDOGO KIDOGO...... HAKUNA RIBA WALA DHAMANA.

VIWANJA VIPO KIBAHA - BOKO TIMIZA, KUTOKA TUMBI HOSPITAL HADI KWENYE MRADI NI KM 7 TUU.
SQM 1 @ SH. 9,000/=, MALIPO YAKE MIEZI 15.
VIWANJA VINAANZIA UKUBWA WA SQM 400 YAAN 20 KWA 20.

MFANO:- KIWANJA CHA SQM 400 (20/20) GHARAMA YAKE NI SH.3,600,000/=......... KILA MWEZI UTALIPIA SH.240,000/= KWA MIEZI 15.

KUONA MRADI /SITE NI KILA JUMAMOSI,
TUNAKUTANA MBEZI MWISHO STAND SAFARI ZINAANZA SAA 3:00 ASUBUHI, NAULI SH.5,000/= ITATUPELEKA NA KUTURUDISHA.
ILI KUSHIRIKI SAFARI TOA TAARIFA MAPEMA KABLA YA SIKU YA SAFARI KWA NAMBA 0756277525.

10/04/2022

VIWANJA VINAUZWA KILUVYA - MAKURUNGE

• Viwanja vipo KILUVYA MAKURUNGE karibu na kwa masister

•Umbali wa kilomita 8 kutoka barabara kuu ya Morogoro road.

• Viwanja vipo kuanzia 20 kwa 20 (sqm 400)

• Gharama ni sh.2,000,000/= ( milioni mbili tuu).

• Kuona eneo ni kila siku. Muonekano wa eneo k**a ilivyo kwenye picha.

Gusa link kwa Bio itakuleta moja kwa moja WhatsApp AU TUPIGIE 0756277525.

09/04/2022

KARIBUNI SANA TUNAUZA VIWANJA, MASHAMBA, TUNAPANGISHA NA KUUZA VYUMBA, NYUMBA, MKOA UUTAKAO.

WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0756 277525

Address

Ukonga
Dar Es Salaam

Telephone

+255756277525

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ARDHI Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category