20/04/2022
🏵️Karibu SURVEYED PLOTS COMPANY LTD(SPC) kwa huduma za uhakika.
🏵️Bei zetu ni Nafuu na ruksa kulipa kidogo kidogo bila Riba wala dhamana. Viwanja vimepimwa na HATI utapatiwa ya wizara. Miradi ipo karibu na Huduma muhimu za kijamii k**a Maji, umeme, shule na Hospital. Pia tayari Kuna makazi ya watu.
🏵️Miradi yetu mingi ipo karibu na Bahari(BEACH PLOTS zipo za kutosha!!)💃Changamkia fursa!!🏊🤽🚣🏂🏖️⛱️
*Msimu huu wa sikukuu tumetoa OFFER ya punguzo la Bei kwa miradi yetu yote!!*;
1. BUYUNI 6
Anza na 150,000Tsh tuu umiliki kiwanja BUYUNI Kigamboni. Malipo ndani ya miezi 20. Jumla Million 3 installments. Na kwa Cash ni Million 2 na laki 8. Eneo lipo km 1 tuu kutoka baharini. Eneo lipo km 47 kutoka Ferry. Sqm1@7,000Tsh cash, sqm1@7,500Tsh installments.
2.GEZAULOLE
Km 1.5 kutoka barabara ya lami.
km 14 kutoka Ferry. Sqm1@20,000 cash. Sqm1@22,000Tsh installments.
Anza na 30%,malipo ndani ya miezi 6.
3. Kimbiji center ;
km 28 kutoka Ferry
Sqm1@15,000Tsh
Vinauzwa cash tu. Eneo lipo mita 50 tuu kutoka barabara kuu ya Ferry.
4. Kimbiji kwa Moris. Km 38 kutoka Ferry. ( mbele ya kambi ya jeshi ya kimbiji)
Sqm 1@14,000Tsh cash
Sqm 1@16,000Tsh installment ( unaanza 15%) miezi 12. Mita 500 kutoka baharini. Mita 200 kutoka barabara kuu ya Ferry.
5. Kimbiji kwa Moris 2
Sqm 1@22,000Tsh ( vya Biasharaa) ila 20,000Tsh kwa cash
Vya Makazi Sqm 1 = 16,000Tsh installment (15% kianzio, nyingine ndani miezi 12). Cash sqm 1@ 14,000Tsh. Mita 800 kutoka baharini. Eneo lipo Zero(0) distance kutoka Barabara kuu ya Ferry.
6. CHEKA kigamboni
Sqm 1@ 18,000Tsh installment ( Anza na 20%). Malipo ndani ya miezi 7.
Sqm 1@16,000Tsh cash. Mita 400 kutoka baharini. Km 20 tuu kutoka Ferry. Eneo lipo karibu na Hotels maarufu(Beach resorts). Eneo lipo karibu na uwanja mdogo wa NDEGE wa Rasi Kutani.
7. BUYUNI 7 BEACH PLOTS.
sqm1@16,000Tsh Malipo ni cash only. Eneo lipo Mita 180 tuu kutoka baharini. Ni Km 55 kutoka Ferry.
8.BUYUNI 3
Lipa Cash Million 3 tuu uchague Kiwanja chenye ukubwa wowote unaotaka
Call/ WhatsApp 0626804559/ 0673259219