Ujanja ARDHI

Ujanja ARDHI Tunakupa Fursa ya kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi 12 adi miezi 18 karibu sana

11/08/2026
11/08/2026

🏑 DELTA CAPITAL GROUP LTD – Zaidi ya Kununua Kiwanja, Tunakujengea Safari Salama ya Uwekezaji.

Kununua ardhi ni moja ya maamuzi makubwa ya kifedha. Ndiyo maana unahitaji kampuni yenye uzoefu, uwazi na kujali maslahi yako katika kila hatua.

Delta Capital Group Ltd tunatoa huduma za kitaalamu za uwekezaji kwenye ardhi ili kuhakikisha kila mteja anapata eneo salama, lenye thamani na fursa ya kukua.

Huduma Zetu
βœ… Uuzaji wa viwanja vya makazi na biashara
βœ… Uuzaji wa mashamba ya kilimo na uwekezaji
βœ… Ushauri wa uwekezaji kwenye ardhi
βœ… Site Visit za kutembelea miradi yetu
βœ… Mfumo wa malipo rahisi kwa awamu
βœ… Ufuatiliaji wa mchakato wa umiliki wa ardhi

Kwa nini uchague Delta Capital Group?
βœ”οΈ Miradi iliyopimwa na yenye umiliki salama
βœ”οΈ Maeneo yenye ukuaji mkubwa na fursa za baadaye
βœ”οΈ Bei nafuu na malipo yanayomwezesha kila mtu kumiliki ardhi
βœ”οΈ Timu ya wataalamu wanaokushauri kwa uwazi na uaminifu
βœ”οΈ Tunakupeleka site ili ujionee eneo kabla ya kufanya maamuzi

Kwa sasa tunayo miradi katika: πŸ“ Makurunge (Sagula Sagula Project) πŸ“ Kiluvya Madukani πŸ“ Vikindu Kisayani πŸ“ Vianzi Mfuru πŸ“ Vianzi Malela πŸ“ Kibaha Visiga πŸ“ Kimbiji Kwa Chale πŸ“ Kerege Manofu πŸ“ Mashamba Kiwangwa Bagamoyo

Usisubiri mpaka bei zipande. Chukua hatua leo na anza kujenga kesho yako kupitia Delta Capital Group Ltd.

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0657 988 814
πŸ“ Ofisi: Rita Tower, Posta – Dar es Salaam

Delta Capital Group Ltd
"Redefine Possibilities."
RedefinePossibilities

04/08/2026

🌱88 OFAAAAAAAAAAA TWENZETU SHAMBANI – MASHAMBA KIWANGWA, BAGAMOYO 🌱

K**a unatafuta uwekezaji wenye gharama nafuu, malipo rahisi na future kubwa, basi Mashamba Kiwangwa – Bagamoyo ni fursa ambayo hupaswi kuiacha ipite.

πŸ“ Eneo: Kiwangwa – Bagamoyo
πŸ›£ Upande wa kulia ukitokea Bagamoyo kuelekea Msata
πŸ›£ Umbali: Km 4 tu kutoka Main Road
πŸ“ Mashamba yamepimwa kwa ukubwa wa heka 1 moja moja
πŸ’° Bei ya heka 1: TZS 2,000,000 tu
πŸ“… Muda wa malipo: Hadi miezi 20
πŸ’³ Malipo ya mwezi: TZS 100,000 tu

Kwa nini ununue Mashamba Kiwangwa?

βœ… Ardhi nzuri kwa kilimo na uwekezaji wa muda mrefu
βœ… Heka zimepimwa vizuri kwa umiliki rahisi
βœ… Karibu na barabara kuu, hivyo ni rahisi kufikika
βœ… Eneo lina future kubwa ya maendeleo
βœ… Bei ni nafuu na malipo ni rafiki kwa kila mwananchi
βœ… Unaweza kuanza kujenga urithi wa familia yako kwa gharama ndogo sana ya kila mwezi

Watu wengi hujuta kwa kutonunua ardhi mapema. Leo una nafasi ya kumiliki heka nzima kwa laki 1 tu kwa mwezi na kujijengea mali ambayo thamani yake itaendelea kuongezeka.

πŸ”₯ USISUBIRI HADI BEI ZIPANDE – ANZA SAFARI YAKO YA UMILIKI WA ARDHI LEO! πŸ”₯

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0657 988 814
πŸ“ Ofisi: Rita Tower, Posta – Dar es Salaam

Delta Capital Group Ltd – TWENZETU SHAMBANI, TUJENGE KESHO YETU KUPITIA ARDHI.






DeltaCapitalRealEstate

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujanja ARDHI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ujanja ARDHI:

Shortcuts

Share