Mgaya Real Estate

Mgaya Real Estate Tunauza viwanja kwa bei rahisi

Ofa ofa ya Saba Saba viwanja kigambon mwasonga 1.kigambon mwasonga Bei ni kuanzia M 3,500,000 hadi 4,000,0002. Kigambon ...
08/07/2026

Ofa ofa ya Saba Saba viwanja kigambon mwasonga
1.kigambon mwasonga Bei ni kuanzia M 3,500,000 hadi 4,000,000
2. Kigambon puna Bei ni kuanzia M 2000,000 hadi 2,500,000
umbali kutoka barabara kubwa kilometer 4
Kigambon puna umbali kutoka barabara Kubwa meter 800
Mawasiliano: 0773735304 / 0687135304

OFA MAALUMU YA SABA SABA 🎉🏡Hii ni nafasi adimu ya kumiliki kiwanja chenye ukubwa wa 15m × 17m kilichopo Kigamboni Bunyun...
05/07/2026

OFA MAALUMU YA SABA SABA 🎉🏡

Hii ni nafasi adimu ya kumiliki kiwanja chenye ukubwa wa 15m × 17m kilichopo Kigamboni Bunyuni, Mtaa wa Kibungo kwa bei ya kipekee ya MILIONI 2 TU! 💰🔥

Umbali wa kilomita 1 tu kutoka barabara kuu, eneo lina huduma muhimu k**a shule, zahanati, umeme na barabara tayari. Huu ni wakati wako wa kufanya uwekezaji wenye faida ya baadaye—usikose! 🚗✨

📞 Wasiliana nasi leo:
0687 135 304 / 0773 735 304

🔥

HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU!!!!Kwa wateja wetu wote wenye malengo ya uwekezaji wa Ardhi kwa ajili ya Biashara au Makazi...
07/04/2026

HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU!!!!
Kwa wateja wetu wote wenye malengo ya uwekezaji wa Ardhi kwa ajili ya Biashara au Makazi!!!

MRADI WA ARDHI:
✅ KIGAMBONI KWA MORIS 2

BEI:
✅ KUANZIA 3,000,000/= (Milioni 3)

MFUMO WA MALIPO
✅ UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO
✅ UNAWEZA KULIPIA CASH PIA

SIFA ZA MRADI
✅ Umeme upo
✅ Maji yapo
✅ Shule
✅ Zahanati
✅ Usalama pia Upo
✅ Mita 900 Toka Barabarani

KWA MAWASILIANO ZAIDI
✅Whatsapp/Piga
+255 687 135 304
+255 773 735 304

10/10/2025

Viwanja viwanja kigambon kimbiji kwa Moris
*umeme Upo
*majirani
*umbali kutoka barabra Kubwa meter 900
* ni kuanzia milion tatu
Ukubwa sqm 300
No: 0687135304/0773735304

***VIWANJA KIGAMBONI ***Viwanja Kigamboni puna mtaa wa Kibungo Bei kuanzia 2,250,000 Umbali kutoka ferry kilometer 35 Un...
15/12/2023

***VIWANJA KIGAMBONI ***
Viwanja Kigamboni puna mtaa wa Kibungo Bei kuanzia 2,250,000
Umbali kutoka ferry kilometer 35
Unaruhusiwa kulipa kwa kipindi cha miezi 3 mpaka 6
Sifa za mradi umezungukwa na majirani na umeme
Bei sqm 1 ni elfu 10
Vinagusa barabara kubwa ya mtaa
Kutoka main road kubwa ya kutoka mji mwema ni Kilometa moja
TUPIGIE:
0687135304

***VIWANJA TSH 800,000 VIKINDU***...Hii huwezi kushindwa;Kilometa 7 tu toka Vikindu StandViko Vikindu VianziHuduma muhim...
23/09/2023

***VIWANJA TSH 800,000 VIKINDU***...Hii huwezi kushindwa;

Kilometa 7 tu toka Vikindu Stand
Viko Vikindu Vianzi
Huduma muhimu zipo
Maji
Umeme
Shule
Hospital

Viwanja ni Tambarare
Barabara zimechongwa

Ukubwa ni Futi 50 kwa 40

BEI: Tsh 800,000

Mawasiliano:
Piga : 0687135304

Ofisi zipo Mwanga Tower,5th Floor

OFA BADO ZINAENDELEA!!!Kutoka 3,750,000 hadi 2,600,000/- (Mita 25 kwa 15)Kutoka 4,000,000 hadi 2,800,000/- (Mita 20 kwa ...
24/05/2023

OFA BADO ZINAENDELEA!!!
Kutoka 3,750,000 hadi 2,600,000/- (Mita 25 kwa 15)
Kutoka 4,000,000 hadi 2,800,000/- (Mita 20 kwa 20)
Kutoka 5,000,000 hadi 3,500,000/- (Mita 25 kwa 20)
Kutoka 6,000,000 hadi 4,200,000/- (Mita 30 kwa 20)
Na kuendelea!

Ni zaidi ya 30% imepungua
Ni kwa wiki hii tu
Wahi sasa usingoje ofa hii imalizike!
Viwanja viko mita 900 tu toka Morogoro Road
Umeme upo
Maji yapo
Majumba yapo
Barabara zipo
Maendeleo yapo!!

MAWASILIANO:
Piga: 0687135304

Ofisi: Kijitonyama,Mwanga Tower (Opposite na Millenium Tower),Ghorofa ya 5

OFA ZA KIGAMBONI ZIMEWAJIA KWA MARA NYINGINE TENA..!!!MRADI WA : - KIGAMBONI BUYUNI MFUMO WA MALIPO: - Unaweza Kulipia K...
10/05/2023

OFA ZA KIGAMBONI ZIMEWAJIA KWA MARA NYINGINE TENA..!!!

MRADI WA :
- KIGAMBONI BUYUNI

MFUMO WA MALIPO:
- Unaweza Kulipia Kidogo Kidogo au Cash.

BEI YA VIWANJA :
- Kuanzia Tsh 1,000,000/- ( Milioni Moja )

SIFA ZA MRADI
- Umeme upo
- Shule
- Zahanati
- Usalama pia upo
- Kilometa 40 toka ferry na mita 500 toka barabara kuu

KWA MAWASILIANO ZAIDI:
Piga: 0687135304 / 0717441987

OFFICE LOCATION :
Kijitonyama , Mwanga Tower ( Opposite na Millenium Tower ) , Ghorofa ya 5

KIGAMBONI - PUNA ;Puna km 35 toka mji mwema.....-Viwanja vinagusa barabara kubwa....-Ukubwa kuanzia sqm 225....bei Tsh 7...
22/04/2023

KIGAMBONI - PUNA ;
Puna km 35 toka mji mwema.....
-Viwanja vinagusa barabara kubwa....
-Ukubwa kuanzia sqm 225....bei Tsh 7,000 kwa sqm1 na 9,000 kwa sq
- Umeme na maji vipo

KIGAMBONI - BUYUNI ;
Baharini sqm 1 ni 10,000....
-Mita 900 toka barabara kuu na kilometa moja toka baharini
-Ukubwa kuanzia sqm 300
- Umeme na maji vipo

KWA MAELEZO ZAIDI ;
Piga: 0687135304

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255687135304

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mgaya Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category