Jadecamrealestate

Jadecamrealestate Jadecam Real Estate Company is a full-service real estate firm providing solutions that meet the complex needs of companies and individuals.

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Madale Mivumoni Manispaa ya KinondoniSqm 400 kinauzwa milioni 23 vipo 2Sqm  200- 271 vinau...
06/01/2025

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Madale Mivumoni Manispaa ya Kinondoni

Sqm 400 kinauzwa milioni 23 vipo 2

Sqm 200- 271 vinauzwa kuanzia milioni 11 hadi milioni 14

Sqm 645 kinauzwa milioni 36 vipo 3

Sqm 626 kinauzwa milioni 35 vipo 5

Sqm 508 kinauzwa milioni 28 vipo 8

Sqm 802 kinauzwa milioni 45 kipo kimoja

Km 5. 2 kutoka goba center mpaka kwenye viwanja
Km 7 kutoka tegeta kibaonii mpaka kwenye viwanja
Km 1.5 kutoka lami kwa shana mpaka kwenye viwanja
Karibuni sana unaweza kulipa kwa awamu
Mazungumzo yapo na hati inatoka kwa jina lako
Karibuni sana..

Plot nzuri sana zipo Kinyerezi mwisho mtaa wa Kichangani, Songas road. vimebaki plot 8 tuu zipo umbali wa km 1.5 kutoka ...
13/12/2024

Plot nzuri sana zipo Kinyerezi mwisho mtaa wa Kichangani, Songas road. vimebaki plot 8 tuu zipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya lami (kinyerezi park). huduma zote za kijamii zinapatikana, ni vizuri sana kwa kujenga appartments kwa matumizi ya airbnb na makazi pia. Mtaa umejengeka vizuri na ni wa kishua sana.kumejengwa maghorofa na kuna utulivu sana

Viwanja vimepimwa

Vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 529-926

Sqm 1 inauzwa shilingi 95,000/=

Mazungumzo yapo na pia unaweza kulipia kwa awamu

*Karibuni sana*

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Madale Mivumoni Manispaa ya KinondoniSqm 400 kinauzwa milioni 23 vipo 2Sqm  200- 271 vinau...
26/10/2024

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Madale Mivumoni Manispaa ya Kinondoni

Sqm 400 kinauzwa milioni 23 vipo 2

Sqm  200- 271 vinauzwa kuanzia milioni 11 hadi milioni 14

Sqm 645 kinauzwa milioni 36 vipo 3

Sqm  626 kinauzwa milioni 35 vipo 5

Sqm 508 kinauzwa milioni 28 vipo 8

Sqm 802 kinauzwa milioni 45 kipo kimoja

Km 5. 2 kutoka goba center mpaka kwenye viwanja
Km 7 kutoka tegeta kibaonii mpaka kwenye viwanja
Km 1.5 kutoka lami kwa shana mpaka kwenye viwanja

Karibuni sana unaweza kulipa kwa awamu

Mazungumzo yapo na hati inatoka kwa jina lako

Karibuni sana..

Ungependa kununua kwa cash au installment

Viwanja vinauzwa Kinyerezi mwisho mtaa wa Kanga Vimepimwa kuanzia sqm 400 na kuendelea.Wahi sasa vimebaki vichache Kila ...
11/10/2024

Viwanja vinauzwa Kinyerezi mwisho mtaa wa Kanga
Vimepimwa kuanzia sqm 400 na kuendelea.
Wahi sasa vimebaki vichache
Kila kiwanja kina beacone

Kiwanja cha sqm 402 kinauzwa milioni 30
Mazungumzo yapo na unaweza kulipia kwa awamu.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, karibuni sana.

PLOTS FOR SALEJipatie viwanja vizuri maeneo ya Goba mpakani na makongo juu...Viwanja vipo goba mtaa wa kibululu, vipo ka...
01/10/2024

PLOTS FOR SALE

Jipatie viwanja vizuri maeneo ya Goba mpakani na makongo juu...

Viwanja vipo goba mtaa wa kibululu, vipo karibu kabisa na barabara ya lami kwenda makongo juu/goba center

block 1

*sqm 588 = 90,000,000/=

*sqm 590= 90,000,000/=

*sqm 586= 90,000,000/=

*sqm 486 = 75,000,000/=

*sqm 511 = 80,000,000/=

*sqm 621 = 95,000,000/=

block 2

*sqm 648 =85,000,000/=

*sqm 601=80,000,000/=

*sqm 726 =95,000,000/=

*sqm 637 =85,000,000/=

* karibuni sana*

Plot nzuri sana zinauzwa Goba zipo goba kulangwa kanjibai road zimebaki plot 4 tu..zipo umbali wa 200mtr kutoka barabara...
26/09/2024

Plot nzuri sana zinauzwa Goba

zipo goba kulangwa kanjibai road zimebaki plot 4 tu..

zipo umbali wa 200mtr kutoka barabara ya lami huduma zote za kijamii zinapatikana..

Sqm 831 kinauzwa 75,000,000/=
Sqm 886 kinauzwa 76,000,000/=
Sqm 558 kinauzwa 50,000,000/=
Sqm 575 kinauzwa 55,000,000/=
Ni vizuri sana kwa appartments na makazi mtaa umejengeka vizuri na ni wa kishua..

Mazungumzo yapo karibuni sana

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jadecamrealestate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jadecamrealestate:

Shortcuts

Share

Category