AndaaMakazi Investments Tz

AndaaMakazi Investments Tz we are deliberate dealers in providing services and products in the field of real estate through sal

AndaaMakazi Investments Tz inawatakia kila la kheri na fanaka ya mwaka mpya,Mwaka huu uwe na kheri,baraka na mafanikio.k...
31/12/2022

AndaaMakazi Investments Tz inawatakia kila la kheri na fanaka ya mwaka mpya,Mwaka huu uwe na kheri,baraka na mafanikio.kwaheri 2022 , karibu 2023

MWEMBEMDOGO - KIGAMBONIviwanja vipo 1.5Km Tu kutoka barabara kubwa ya rami iendayo dege.Huduma zote za kijamii k**a maji...
13/09/2022

MWEMBEMDOGO - KIGAMBONI
viwanja vipo 1.5Km Tu kutoka barabara kubwa ya rami iendayo dege.
Huduma zote za kijamii k**a maji,umeme na zahanati,shule zinapatikana karibu na mradi

Bei ni 15,000/= kwa MITA MRABA..
Viwanja vinaanza Mitamraba 400

kwa 400 Sqm = 6,000,000
kwa 500 Sqm = 7,500,000
kwa 600 Sqm = 9,000,000

Lipia NUSU kwanza iliyobaki utamalizia kidogokidogo mpaka miezi 3.
Au unaweza lipia CASH.
.KUTEMBELEA MRADI NI KILA SIKU..
piga 0654900133
0654900133
0654900133 kwa safari za site kila siku.
Ofisi zetu zipo MJIMWEMA - KIGAMBONI

Mbagala Kongowe Mzinga, Km 2 kutoka mbagala Rangi 3, km 1 kutoka barabara ya lami ya kilwa(0765434444)Bei ni mil 4, Kwa ...
23/02/2022

Mbagala Kongowe Mzinga, Km 2 kutoka mbagala Rangi 3, km 1 kutoka barabara ya lami ya kilwa

(0765434444)

Bei ni mil 4, Kwa squaremeter 200
Bei ni mil 5, kwa squaremeter 250
MALIPO NI CASH (AU ) INSTALLMENT
Daradara moja tuu mpaka kongoe, kutoka kkoo, kivukon au tandika, temeke.
Ofisi ipo kigambon mjimwema
Au Tupigie. 0765434444
Kwa mahitaji ya kuja kuona viwanja

🔥Viwanja vimepimwa MWASONGA-KIGAMBONI✍️200 meters kutoka Barabara kubwa mpaka kwenye viwanjaNunua na Ujenge hakuna haja ...
23/02/2022

🔥Viwanja vimepimwa MWASONGA-KIGAMBONI
✍️200 meters kutoka Barabara kubwa mpaka kwenye viwanja
Nunua na Ujenge hakuna haja ya kusubiria pachangamke,pameshachangamka tayari
✍️Mita mraba moja TSH.4000 Tu
ANZA NA 50% inayobaki malizia kwa mwezi 1
Kiwanja kuanzia 800,000 Tu
Huduma za kijamii K**a maji,umeme ni za uhakika mpaka kwenye viwanja..
Piga 0765434444 au 0654900133Kwa safari za kwenda site kila siku..
Au fika ofisini Mjimwema garden-kigambon

Mbagala Kongowe Mzinga, Km 2 kutoka mbagala Rangi 3, km 1 kutoka barabara ya lami ya kilwa(0765434444)Bei ni mil 4, Kwa ...
11/02/2022

Mbagala Kongowe Mzinga, Km 2 kutoka mbagala Rangi 3, km 1 kutoka barabara ya lami ya kilwa
(0765434444)

Bei ni mil 4, Kwa squaremeter 200
Bei ni mil 5, kwa squaremeter 250
MALIPO NI CASH (AU ) INSTALLMENT

Daradara moja tuu mpaka kongoe, kutoka kkoo, kivukon au tandika, temeke.

Ofisi ipo kigambon mjimwema
Au Tupigie. 0765434444
Kwa mahitaji ya kuja kuona viwanja

New Project On Progress.Bagamoyo Fukayosi. Utamiliki Kiwanja Chako Kwa Kuanza Na Laki Tuu.Viwanja Vyetu unalipa kwa Mkop...
11/02/2022

New Project On Progress.

Bagamoyo Fukayosi. Utamiliki Kiwanja Chako Kwa Kuanza Na Laki Tuu.

Viwanja Vyetu unalipa kwa Mkopo Kidogo kidogo Bila Riba Malipo Ndani ya Miezi 12 Tu.

Au lipia CASH tsh.900,000 Tu
Tupigie 0765434444 kwa safari za site kila siku



Project On Progress.

Kwetu sisi Hati unapata ndani ya Miezi miwili baada tu yakumaliza malipo ya Kiwanja chakoTupigie 0765434444Kwa miradi ya...
11/02/2022

Kwetu sisi Hati unapata ndani ya Miezi miwili baada tu yakumaliza malipo ya Kiwanja chako
Tupigie 0765434444
Kwa miradi ya viwanja MWASONGA,KIBADA,CHEKECHEA,MWEMBEMTENGU,MZINGA,VIKINDU,KIBAHA MISUGUSUGU,FUKAYOSI(bagamoyo)CHEKA,MBUTU BEACH PLOTS,BUYUNI BEACH NA PEMBA MNAZI.

Tunauza Viwanja Mwasonga center, Km 16 kutoka Kibada. Mita 800 kutoka stendi ya mwasonga. Panaitwa Mwasonga majumba mia,...
03/02/2022

Tunauza Viwanja Mwasonga center, Km 16 kutoka Kibada. Mita 800 kutoka stendi ya mwasonga. Panaitwa Mwasonga majumba mia,
mradi upo karibu na majumba ya kisasa kabisa

Viwanja Vimepimwa
Ukubwa sqm 400
Bei. Sqm1, Tsh 9000 kwa mkopo wa miezi 20
CASH. Mil 2.5
Tunatoa hati ya wizara

Site kila siku

Mawasilino. 0765434444
Karibu Ofisini kwetu Mwenge ITV

Eneo : kigoma (Bangwe Beach)Ukubwa: SQM 8100Umiliki : TITLE DEEDBei : USD 200,000Eneo Lina nyumba yenye vyumba 4 na kiwa...
26/01/2022

Eneo : kigoma (Bangwe Beach)
Ukubwa: SQM 8100
Umiliki : TITLE DEED
Bei : USD 200,000

Eneo Lina nyumba yenye vyumba 4 na kiwanda cha kuzalishia nishati mbadala,kisima cha maji na eneo kubwa sana.
Eneo linafaa kwa biashara ya Hotel na makazi (commercial residential area)

Kwenda kuona eneo wasiliana nasi
0654900133 au 0765434444

🔥KIGAMBONI MBUTU - KICHANGANI PLOTS-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.-Umbali ni 300 meters kutoka baharini,15km kutoka ...
19/01/2022

🔥KIGAMBONI MBUTU - KICHANGANI PLOTS
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 300 meters kutoka baharini,15km kutoka ferry.
-Viwanja vimepimwa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.

| 0765 434444 | au 0654900133

-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 35,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
-CASH
VISIT ni KILA SIKU.
Piga 0765434444

Address

MAKUMBUSHO, Derm Plaza Floor 11
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255765434444

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AndaaMakazi Investments Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AndaaMakazi Investments Tz:

Share