Lynee Estate

Lynee Estate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lynee Estate, Estate agents, Dar es salaam, Dar es Salaam.

09/06/2026

Mashamba Kiwangwa Bagamoyo heka 1 ni 2,000,000 Lipa laki moja umiliki shamba la ndoto yako

28/05/2026
TWENDE SITE FUKAYOSI - BAGAMOYO! 🚌Muda wa vitendo umefika! K**a ulikuwa unatamani kujionea mradi wetu wa mashamba yenye ...
23/05/2026

TWENDE SITE FUKAYOSI - BAGAMOYO! 🚌

Muda wa vitendo umefika! K**a ulikuwa unatamani kujionea mradi wetu wa mashamba yenye rutuba na fursa kibao za uwekezaji kule Fukayosi, hii ndiyo nafasi yako. Tunakupeleka ukajionee ardhi yako mwenyewe!

Taarifa za Safari Zetu:
📍 Mahali pa Kuondokea: Stendi ya Mbezi Mwisho
⏰ Muda wa Kuondoka: Saa mbili kamili asubuhi
💵 Gharama ya Usafiri: Tsh 12,000/= tu

Kumbuka, eneo hili lipo kimkakati sana: linapakana na barabara ya TARURA, linafaa kwa kilimo, na lipo jirani na Kiwanda cha Bagamoyo Sugar, Bandari Kavu, pamoja na Mnada wa Mifugo. Huu ni uwekezaji ambao thamani yake inapanda haraka!

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lynee Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share