Sando Real Estate investment Ltd

Sando Real Estate investment Ltd Hereby to offer you better services. If you need house, godown, industry, industrial area, settleme

Mlete mwanao kwa mafanikio yake ya badaeAmini hutajutia nafasi ni hii na wakati sahihi ni huu
03/11/2024

Mlete mwanao kwa mafanikio yake ya badae
Amini hutajutia nafasi ni hii na wakati sahihi ni huu

02/11/2024
30/10/2024

Uongozi wa Zawadi training college unatangaza nafasi (50) za udhamini Kwa vijana waliyomaliza form four na wamekosa kuendelea na kozi hivyo kozi inayotolewa ni ya Malezi ya awali tu Kwa anayehitaji awasiliane na katibu wa mladi ampe mashariti ya udhamini Kwa namba zifuatazo 0760124723 ukipata ujumbe huu mtumie kijana au Binti aliyemaliza form four amekosa uwezo wakuendelea, atume majina yake kwenye namba hizo Mungu akipenda kesho utakuwa ni mwisho wakupokea majina ya wahitaji wakudhaminiwa bariki ubarikiwe share tu Kila Kona ya groups zako zote

KARIBU TUKUHUDUMIEMzazi/ Mzazi au jirani hii sio ya kukosa kabisaHuduma zetu ni zauhakika na bora hutajutaKwa wahitimu w...
13/09/2024

KARIBU TUKUHUDUMIE

Mzazi/ Mzazi au jirani hii sio ya kukosa kabisa
Huduma zetu ni zauhakika na bora hutajuta
Kwa wahitimu wote wa darasa la saba na wengine wenye hitaji la kujiunga na kidato cha kwanza ( form one). Karibu kukuandae ili kuingia kwenye ushindani wa elimu

Sando Real Estate Agencies # # # # # # # # # # # # # # # # # # #Property dealer's in Coastal & Mainland of TANZANI1.Ware...
06/09/2024

Sando Real Estate Agencies
# # # # # # # # # # # # # # # # # # #
Property dealer's in Coastal & Mainland of TANZANI

1.Warehouse sells& Renting,

2. Beach properties plots sells & Renting,

3. Industrial properties plots sells & Renting,

4. Hotel, Restaurants sells & Renting,

5. Residents, Commercial plots sells & Renting,

6. Used, innovated and newly built properties sells & Renting,

7. Auction and brokers dealer's

8. Schools & institutions property sells & Renting.

CONTACT US THROUGH (+255 716 575 690 / + 255 687 132 413) FOR CALLS & WHATSAPP
ALSO JOIN THE LINK BELOW

https://t.me/sandorealpropertybrokers

# # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # # #
https://whatsapp.com/dl/

Katibu Sando Real Estate Property, Kwa mahitaji ya 1. Nyumba, 2. Kiwanja, 3. Office,Kiwanda 4. Petrol station

Welcome those who needs good residents designWe're here working for you.1. Site plan design2. Home plan3. Industrial pla...
02/09/2024

Welcome those who needs good residents design
We're here working for you.
1. Site plan design
2. Home plan
3. Industrial plan design
4. Warehouse plan design
5. Hotel plan design
6. Yards design
Please contact us through +255716575690 both calls and whatsapp

Hii asset inauzwa au kukodishwa inafaa kwa shule na michezo ya watotoInapatikana GOBA MATOSA kwa anae hitaji kuwekeza tu...
15/08/2024

Hii asset inauzwa au kukodishwa inafaa kwa shule na michezo ya watoto
Inapatikana GOBA MATOSA kwa anae hitaji kuwekeza tutafute kwa mazungumzo zaidi
+255687132413

09/08/2024
Hii Shule ya watoto inauzwa au kukodishwa kwa anaye hitaji Eneo kinondoni Goba MatosaTuwasiliane kwa +255716575690
09/08/2024

Hii Shule ya watoto inauzwa au kukodishwa kwa anaye hitaji Eneo kinondoni Goba Matosa
Tuwasiliane kwa +255716575690

***ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA*** Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NUR...
22/07/2024

***ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA***
Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY linakodishwa AU kuuzwa kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.
Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Matosa, Goba na lina Madarasa, Swimming Pool, Kisima cha Kuuza Maji, Garden kubwa kwa kufanyia Events mbalimbali na Michezo mbalimbali ya Watoto.Bei 600mil
Maongezi yapo kwa serious buyers +255716575690/+255687132413

Address

Sando Street
Dar Es Salaam
12113

Telephone

+255716575690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sando Real Estate investment Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sando Real Estate investment Ltd:

Share

Category