15/01/2025
LIPIA KIWANJA HADI 7,000 TU KWA WIKI!!
Sasa haijalishi kipato chako;kuanzia dada wa kazi nyumbani hadi Boss ofisini...kila mmoja ana fursa ya kumiliki kiwanja!
KIVIPI?
1.MSATA A (MSATA MJINI)
Hivi viko jirani kabisa na mji wa Msata
Msata ni mji unaokua haraka sana!
Vipo kilometa 1.8 tu toka kwenye lami jirani na eneo Posta Saccos na IFM Campus,upande wa kulia kutokea Dar es Salaam
BEI: Kiwanja cha Sqm 400 (Mita 20 kwa 20)
Cash: Tsh 600,000/-(Laki Sita)
Kidogokidogo: Tsh 1,200,000
Mfumo wa malipo: Kianzio unaamua mwenyewe kisha unalipa Tsh 7,000 kila wiki mpaka deni liishe.
2.MSATA B (Kilometa 4 toka Msata Mjini)
Hivi vipo kilometa 4 toka Msata Mjini
Upande wa kushoto wa Posta Saccos kutokea Dar
BEI:
Kwa kiwanja cha Sqm 300 hadi 400
Cash: Tsh 350,000/- (Laki Tatu na Nusu)
Kidogokidogo :Tsh 600,000
Mfumo: Unaamua kianzio kisha unalipa Tsh 7000 kwa wiki hadi deni liishe.
3.Fukayosi Mjini (Mita 500 toka kwenye lami)
Vipo Mjini kabisa
Kuna huduma zote hadi maji,nyumba za kupanga jirani,shule nk
BEI:
Kiwana cha 20 kwa 20 ni Tsh 2,400,000
Tsh 5,000/- kwa sqm
Kuanzia Sqm 400 hadi 700
Mfumo wa Malipo: Anza na 500,000/- kisha 20,000 (elfu 20) kila wiki hadi deni liishe.
VIMEPIMWA NA HATIMILIKI UTAPATA
4.KIROMO
Vipo Kiromo Mjini
Kilometa 2 toka kwenye lami
Kuanzia Tsh 3,000,000/-
Mfumo: Anza na 1,500,000/ kisha iliyobakia ndani ya miezi 6
5.VIKAWE MJINI (USHUANI)
Vipo Vikawe
Unaingilia Mingoi (Kabla ya Baobab School)
Kuanzia sqm 320 na kuendelea
Kuanzia Tsh 6,400,000/- unapata kiwanja
Kianzio : 50% kisha iliyobakia ilipwe ndani ya miezi mitatu hadi sita
VIMEPIMWA NA HATIMILIKI UTAPATA
Kwa Mawasiliano zaidi:
0655941072
Neema Real Estate Agency
Real Estate