07/09/2026
💥SEPTEMBER HII — MILIKI ARDHI, JENGA THAMANI YA MAISHA YAKO 🌱🏡
Unatafuta shamba lenye rutuba kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu?
Usiache pesa yako ikae bila mpango wakati unaweza kuanza kumiliki ardhi yako Kiwangwa Bagamoyo kwa kianzio cha TSh 100,000 tu! 🔥
📍 KIWANGWA – BAGAMOYO
🍀Eneo lenye mazingira mazuri, ardhi tambarare na yenye rutuba, linalofaa kwa mtu anayepanga kulima, kufuga, kujenga baadaye au kuwekeza kwenye ardhi.
🌿 KWA NINI UCHAGUE SHAMBA HILI?
✅ Km 8 tu kutoka Main Road – Msata Road
✅ Ardhi yenye rutuba na uoto wa kutosha 🌱
✅ Ardhi tambarare, inayofaa kwa shughuli mbalimbali
✅ Mashamba kuanzia Ekari 1 na kuendelea
✅ Mazingira mazuri kwa kilimo na ufugaji
✅ Fursa kwa uwekezaji wa muda mrefu
✅ Ukimaliza malipo, unapata Hati Miliki ya shamba lako 📜
💰 BEI NI RAFIKI — MPANGO WA MALIPO NI RAHISI!
🌱 Ekari 1 = TSh 2,000,000 tu
🔥 KIANZIO: TSh 100,000 TU!
💳 Malipo kwa miezi 20
💥Huhitaji kuwa na TSh 2,000,000 yote leo. Anza na Laki 1, linda eneo lako, kisha endelea na malipo kidogo kidogo kwa miezi 20.
🚨 SEPTEMBER HII, USINUNUE TU — WEKEZA!
K**a umekuwa ukisema:
“Nataka kuwa na shamba langu.”
“Nataka kuanza kilimo.”
“Nataka kuanza ufugaji.”
“Nataka kuwekeza kwenye ardhi.”
Huu ndio muda wa kuanza kugeuza mpango kuwa mali halisi. 🌱
🚌 NJOO SITE — UJIONEE MWENYEWE!
✅Hatukwambii ununue kwa kusikia tu. Njoo site, tazama ardhi, mazingira, barabara na eneo lenyewe kabla ya kufanya uamuzi.
✅Safari za site ni Siku ya jumamosi Saa 2 na nusu Asubuhi. safari zinaanzia mwenge sheli ya puma na kuishia Ofisini Mbezi Beach Goigi. Nauli ya Site Ni Elf 12 Tu
☎️0659491608