13/05/2026
KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI 2 :
Ni eneo zuri sana...mandhari nzuri na upepo mwanana wa bahari kwani eneo limeelekea upande wa Bahari ya Hindi..
Ni eneo ambalo haliathiriwi na mafuriko kwa njia yoyote ile
Limezungukwa na makazi ya kifahari hivyo usalama ni wa kutosha
Bei:
☑️ Kidogokidogo ni Tsh Milioni 3,000,000
☑️ KIWANJA CHA BEI YA CHINI KABISA NI MILIONI 3
Tupigie:
☑️ Whatsapp / Call : 0650719508