11/09/2024
ITAKUWA WAZI TAR 11/9/2024
80k miezi 3
Chumba master nzur sana inapangishwa kimara mwisho km 2
PIGA CM 0773700963
Sifa zake__>
Jipsam,tails,aluminium
Maji yanafloor ndani
Umeme submiter
Kupelekwa kwenye nyumba ghalama elfu 15
Ukipenda na ukilipia unamlipa dalali mwezi mmoja
N:B USISAHAU PESA YA TAHADHALI ELFU 50000
KARIBUNI SANA
cna cheni hapa