Yhy investment Ltd

Yhy investment Ltd wauzaji wa viwanja nyumba na mashamba

21/05/2025
OFA YETU YA FUNGA MWAKA BADO INAENDELEA. BEI N milion moja lak tano  TU. (1500000/=) HII NI OFA YA KIPEKEE KWA AJILI YAK...
08/12/2024

OFA YETU YA FUNGA MWAKA BADO INAENDELEA. BEI N milion moja lak tano TU. (1500000/=) HII NI OFA YA KIPEKEE KWA AJILI YAKO. Viwanja ni Vizuri sana. Vinapatikana VIKINDU mjin Piga /Whatsap 0623987880

UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40. Unaweza Kuunganisha Viwanja zaidi ya Viliwi na kuendelea kulingana na bajeti yako.

Viwanja Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Shule, kituo Cha Afya, Usafiri k**a Bajaji Umefika n.k

USAFIRI NI UHAKIKA, kuna daladala za kutoka
Gerezani hadi Vikindu, Tandika hadi
Vikindu, Temeke hadi Vikindu , Kigamboni Vikindu, Posta Vikindu n.k

Piga/whatsaap 0623987880

Address

Kongowe
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yhy investment Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category