Marm'z Real Estate

Marm'z Real Estate Uuzaji wa viwanja,Mashamba,Nyumba na
Ujenzi

NAWEZA KUJENGA NYUMBA KWA MILION 2 NA NIKAHAMIA?Nimekutana na maswali je kweli kwa mil 2 naweza kujenga nyumba na nikaha...
28/04/2025

NAWEZA KUJENGA NYUMBA KWA MILION 2 NA NIKAHAMIA?

Nimekutana na maswali je kweli kwa mil 2 naweza kujenga nyumba na nikahamia??

Jibu langu ni ndio unaweza kujenga na kuhamia au kumpangishia mtu akaishi hapo wakati wewe ukijipanga kujenga nyumba kubwa zaidi au kuhamia mwenyewe hapo ili kukwepa kodi sehemu ile uliyopanga.

Hapa chini ninakuwekea makadirio machache ambayo ukiyatumia vizuri basi utaweza kuwa na kajumba kako kakiwa na room mbili tu ya kuanzia maisha halafu baadae Mungu akikubariki basi utajenga kubwa zaidi.Sio lazima nyumba ikiwa na madoido mengi,finishing nyingi ndio iitwe nyumba,hata ikiwa haina rangi ni nyumbani kwako tambua kuna kale kafeeling kanakujaga unaporudi kwako na akili ikakuambia hapa ni kwako na sio umepanga kafeeling katamu sanaaa.

Mahesabu haya ya vyumba viwili inakuwa na;
1. Chumba kimoja single
2. Sebule ambayo imeungana na jiko hapohapo unapikia sebuleni ili mgeni ashikwe njaa mapema kwa kusikia harufu ya madikodiko😁
3. Choo cha jumuia au public toilet.
Kwahiyo kwenye kiwanja chako cha skwea mita 400 (20*20) unaweza kutangulia kujenga nyumba hii ndogo ukaishi hapo huku ukijipanga kujenga kubwa zaidi hapo baadae na kukwepa kulipa kodi kwa watu wengine basi ile kodi utaitumia kusave ili uje ujenge nyumba kubwa.

MATERIALS YA NYUMBA ROOM MBILI.:

1. Matofali brock 700 sawa na 1@ 900x700=630,000
2. Mchanga trip 2 sawa na 1@60000Γ—2=120000
3. Siment mifuko 18 sawa na 1@15500Γ—18=279000
4. Nondo mm12 ziwe 4 tu ambazo zinalazwa juu ya lenta kwa kubana mbilimbili sawa na 1@19000Γ—4=76000
5. Kokoto trip 1 gari ndogo sawa na 60000
6. Mvao za kukodi za sahani pic 10 sawa na 20,000
7. Misumari kg 1 sawa 3500
8. Maji ya kujengea 30,000
9. Mbao za kuezeka
-2x4 idadi pic 5@4000x5 =20000
-mbao 2x3 idadi 4=1@3000Γ—4=12000
- Misumari ya mbao kg 2 sawa 7000
- Misumari ya bati kg 2 sawa 7000
- bati simba dum nyeupe 16 pic bati zinaezekwa kwa kulazwa tu kuelekea nyuma ya nyumba sawa na 1@17500Γ—16=245000
-grill madirisha 2 na kuweka geti moja mlango wa mbele 300,000
- mlango mmoja wa chumbani 200,000
-simenti za plasta ndani na sakafu 160,000 mifuko 10.

Hapo sasa jumla kuu Tsh 2,170,000.

Ufundi kuanzia mwanzo hadi mwisho tsh 600,000 kuanzia kujenga msingi,kupaua,kufix madirisha milango na kupiga plasta pamoja na sakafu rough floor tu.
Hapo jumla kamili tsh 2,770,000 tu.

Gharama hizi zinatofautiana bei sehemu moja na nyingine pia zinatofautiana katika namna ya usafirishaji,lakini hadi kufikia hapo itakuwa tayari kukaliwa hata ukihitaji kuhamia ni sawa huku vitu vingine vidogo vidogo vikifanyika ukiwa kwako.
Sio lazima kufanya finishing za kibabe k**a tailizi,rangi nk kwasababu hii ni nyumba ya dharula unaishi hapo ukijipanga kujenga kubwa zaidi na pale ukimaliza ujenzi wa nyumba kubwa hii ndogo utaifanyia finishing unazotaka na kuipangisha au kutumia kwa mahitaj mengine.

Natumain hadi hapa naweza kuwa nimeeleweka hizi gharama zinapanda na kushuka hazifanani kila eneo.

Nimekwepa kufunga nondo chini kwasababu hii nyumba ni ya dharula tu badala yake nikafunga lenta ya juu ili madirishani na milangoni kusiweke nyufa mapema.

K**a mtu ana swali tafadhali nione whatsap kwa ufafanuzi zaidi 0689906466 mashauriano ni bure kabisa.

Imeandikwa na Eng. Kennedy Cornely

Haya wadau kazi ni kwenu,nitaendelea kuwaletea makala k**a hizi pengine zitamsaidia mtu mmoja kufanya jambo si eti?

Kumbuka kuanzia 200,000/= tu unaweza kumiliki kiwanja Bagamoyo Masuguru

Marm'z Relationship Hub Marm'z Real Estate 0710474782

Mimi nikiwa k**a mdau wa maandishi kupitia Marm'z Writters Hub na Marm'z Real Estate   tunapenda kushiriki kwenye Tuzo y...
26/02/2025

Mimi nikiwa k**a mdau wa maandishi kupitia Marm'z Writters Hub na Marm'z Real Estate tunapenda kushiriki kwenye Tuzo ya Ushairi Chaguo la Wasomaji tukiwa k**a wadhamini

Na tutatoa zawadi ya viwanja kwa washindi wa kwanza ambao watakua Watanzania,naam shindano linashirikisha nchi mbalimbali lakini kwasababu sheria yetu ya ardhi ina masharti katika kumiliki ardhi kwa wageni ,basi sisi k**a wadhamini tutawazawadia washindi wa kwanza kutoka Tanzania

Hii ni katika kuendelea kuyapa thamani maandishi,sisi wapenzi wa maandishi tunafahamu umuhimu wa maandishi na waandishi katika jamii,lakini pia tukiwa k**a sehemu ya kuendelea kuhamasisha matendo mema katika jamii

Mimi nikiwa k**a mdau wa harakati chanya huwa naguswa nikiona kuna vijana wenzangu wanapambana katika kuleta uchanya katika jamii

Kongole kwa waanzilishi wa jambo hili na wadau wote ambao kwasasa wanaendelea kushiriki zoezi la kupiga kura

Zoezi liwe jema na liishe salama,upendo na amani vitawale katika kila kitu ili ile tija inayotamaniwa kupatikana ipatikane

Asante

Adv.Mariam Mbano
26/02/2025
0710474782

VIWANJA VALENTINE OFA NA MARM'Z REAL ESTATE24/1/2025 _ 15/02/2024PATA OFA ZIFUATAZO KUELEKEA SIKU YA VALENTINE PIGA/SMS/...
07/02/2025

VIWANJA VALENTINE OFA NA MARM'Z REAL ESTATE

24/1/2025 _ 15/02/2024

PATA OFA ZIFUATAZO KUELEKEA SIKU YA VALENTINE

PIGA/SMS/CALL 0710474782

1.UKINUNUA VIWANJA 5 UNAPATA KIMOJA BURE NA RAMANI YA HITAJI LAKO BURE

2.UKINUNUA 6 NA KUENDELEA ,UNAPATA KIMOJA BURE,RAMANI BURE NA ROLI LA MCHANGA BURE

3.UKINUNUA VIWILI UNAPATA RAMANI BURE

MAENEO YA MRADI

1.MWETEMO BAGAMOYO (MRADI MPYA) KM 2 KUTOKA BARABARANI.350,000/= BADALA YA 500,000/=

2.PINGO CHUO CHALINZE KM 1 KUTOKA BARABARANI.350,000/= BADALA YA 500,000/=

3.KIBAHA BOKO MNEMELA KM 8 KUTOKA TUMBI HOSPITAL.2,000,000/= BADALA YA 3,000,000/=.

4.DODOMA IPALA KM 26 KUTOKA DODOMA MJINI 1,100,000/= BADALA YA 1,600,000/=

5.MASUGURU BAGAMOYO KM 2 KUTOKA BARABARANI 280,000/= BADALA YA 400,000/=

6.PINGO 2 ,KM 1.5 KUTOKA BARABARANI. 250,000/= BADALA YA 350,000/=

7.MWETEMO KM 3 KUTOKA BARABARANI 320,000/= BADALA YA 450,000/=

UKUBWA SQM 400 (20*20 KWA VYOTE).UNAWEZA KUNUNUA IDADI NA UKUBWA WOWOTE UTAKAO

WASILIANA NA 0710474782

ZINGATIA MSIMU WA OFA BAADA YA HAPO BEI ITARUDI KWA BEI HALISI

YAANI 350,000/= NI YA KUKOSA KUMILIKI ARDHI ???? BASI HATA 280,000/=πŸ€—πŸ€—

USIKOSE KUMILIKI ARDHI KUELEKEA TAREHE 14/02/2025

ZINGATIA KIWANJA KIMOJA KITATOLEWA K**A ZAWADI πŸ’₯πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»

VIGWAZA KIWANJA KIMOJA CHA 20*20 NI 350,000/= BADALA YA 750,000/= YAANI UNAOKOA 400,000/= NZIMA πŸ™„πŸ™„πŸ™ŒπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ€”πŸ˜‡

KAZI KWENU,VIWANJA VYA UHAKIKA KABISA.VIWANJA VIMENYOOKA HAKUNA UJENZI HOLELA MFANO K**A HIVYO YAANI SISI HATUNA MBAMBAMBA MANENO MACHACHE KAZI NYINGI.KAZI KWAKO KUK**ATA FURSA

Marm'z Relationship Hub Marm'z Real Estate 0710474782

05/02/2025

VIWANJA VIGWAZA BUYUNI KM 9 KUTOKA BARABARANI NI 350,000/= (KATI YA CHALINZE NA MLANDIZI)
BOKO MNEMELA KIBAHA KM 8 KUTOKA TUMBI HOSP KWA 2,000,000/=.PINGO CHUO CHALINZE KM 1 KUTOKA BARABARANI KWA 350,000/=.MWETEMO BAGAMOYO KM 1.8 KUTOKA BARABARANI KWA 350,000/=.MASUGURU BAGAMOYO KWA 280,000/= KM 2 KUTOKA BARABARANI.YOTE NI SQM 400(20*20) 0710474782

NB:Video ni ya mradi mpya utakaoanza kuuzwa hivi karibuni,PINGO CHALINZE πŸ’ƒπŸ’₯

Marm'z Relationship Hub 0710474782

VIWANJA VALENTINE OFA NA MARM'Z REAL ESTATE24/1/2025 _ 15/02/2024PATA OFA ZIFUATAZO KUELEKEA SIKU YA VALENTINE PIGA/SMS/...
24/01/2025

VIWANJA VALENTINE OFA NA MARM'Z REAL ESTATE

24/1/2025 _ 15/02/2024

PATA OFA ZIFUATAZO KUELEKEA SIKU YA VALENTINE

PIGA/SMS/CALL 0710474782

1.UKINUNUA VIWANJA 5 UNAPATA KIMOJA BURE NA RAMANI YA HITAJI LAKO BURE

2.UKINUNUA 6 NA KUENDELEA ,UNAPATA KIMOJA BURE,RAMANI BURE NA ROLI LA MCHANGA BURE

3.UKINUNUA VIWILI,VITATU NA VINNE UNAPATA RAMANI BURE

MAENEO YA MRADI

1.MWETEMO BAGAMOYO (MRADI MPYA) KM 2 KUTOKA BARABARANI.350,000/= BADALA YA 500,000/=

2.PINGO CHUO CHALINZE KM 1 KUTOKA BARABARANI.350,000/= BADALA YA 500,000/=

3.KIBAHA BOKO MNEMELA KM 8 KUTOKA TUMBI HOSPITAL.2,000,000/= BADALA YA 3,000,000/=.

4.DODOMA IPALA KM 26 KUTOKA DODOMA MJINI 1,100,000/= BADALA YA 1,600,000/=

5.MASUGURU BAGAMOYO KM 2 KUTOKA BARABARANI 280,000/= BADALA YA 400,000/=

6.PINGO 2 CHALINZE ,KM 1.5 KUTOKA BARABARANI. 250,000/= BADALA YA 350,000/=

7.MWETEMO KM 3.5 KUTOKA BARABARANI 320,000/= BADALA YA 450,000/=

UKUBWA SQM 400 (20*20 KWA VYOTE).UNAWEZA KUNUNUA IDADI NA UKUBWA WOWOTE UTAKAO

WASILIANA NA 0710474782

ZINGATIA MSIMU WA OFA BAADA YA HAPO BEI ITARUDI KWA BEI HALISI

MRADI MPYA WA MWETEMO UTAKUA NA RAMANI YA 3D YA MRADI MZIMA

YAANI 350,000/= NI YA KUKOSA KUMILIKI ARDHI ???? BASI HATA 250,000/=πŸ€—πŸ€—

USIKOSE KUMILIKI ARDHI KUELEKEA TAREHE 14/02/2025

ZINGATIA KIWANJA KIMOJA KITATOLEWA K**A ZAWADI πŸ’₯πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ» YAANI BUREEEEE KABISA KWA ATAKAYESHINDA CHALLENGE YA VIWANJA

NB:UKILETA MTEJA UTAZAWADIWA πŸ‘ŒπŸ»πŸŽ€πŸŽ€πŸ“’πŸ“’πŸ“’βœ…πŸ’₯πŸ’₯πŸ’ƒ

Marm'z Real Estate 0710474782

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marm'z Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category