13/05/2025
Haikuwa Kazi Rahisi Kwa Zakayo Kumuona Yesu Katikati Ya Makutano lakini Hakukata Tamaa,alipoona Kwa Njia ya Kuonana nae Barabarani inashindikana kutokana Na ufupi wale, Akatumia njia mbadala kwa Kupanda Juu ya Mti ili Afanikiwe adhima yake.
=Cha Kuzingatia Usikatishwe Tamaa Kirahisi katika Jambo ambalo umeliwekea Nia.
=Mungu hujazia katika kile Ulichonacho(Jitihada),Umeonyesha Nia Fulani Na Yeye Hubariki kupitia Jitihada zako
= Hata Waswahili husema Mkono mtupu Haulambwi,Onyesha Nia Na Mungu ataibariki hio Nia yako
= Never Give Up,In God We Trust