Excellent Builders

Excellent Builders Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Excellent Builders, Real Estate, P. O. BOX 9193 FERRY KIGAMBONI, Dar es Salaam.

19/02/2026

Kwa ufanisi na ubora mkubwa, tunaendelea kutoa huduma za finishing za majengo kwa kiwango cha juu kabisa!
Kupaua kwa ustadi wa hali ya juu!
Plaster imara na laini!
Skimming safi inayong’aa!
Rangi za aina zote – ndani na nje kwa umaridadi wa kuvutia!
Gypsum design za kisasa? Tunazo!
Tiles kwa mpangilio makini na umaliziaji safi? Hiyo ndiyo taaluma yetu!

Popote ulipo ndani ya Tanzania — bara na visiwani — tupo tayari kukuhudumia
Ukihitaji kazi safi, ya viwango na inayodumu kwa miaka mingi… chagua wataalamu wa kweli!

EXCELLENT BUILDERS!
We are the best of the best finishers!
Piga simu sasa:0767492141.

07/02/2026
Wasiliana nasi upate vipimo halisi na ujenzi 0767492141
07/02/2026

Wasiliana nasi upate vipimo halisi na ujenzi 0767492141

Real meaning of master bedroom
06/02/2026

Real meaning of master bedroom

0767492141 for better Land scape in Tanzania
05/02/2026

0767492141 for better Land scape in Tanzania

Ramani ya Nyumba yenye Kila kitu ndani wasiliana nasi kwa ujenzi Bora 0767492141
05/02/2026

Ramani ya Nyumba yenye Kila kitu ndani wasiliana nasi kwa ujenzi Bora 0767492141

It is possible for you to build it this year
02/02/2026

It is possible for you to build it this year

24/01/2026

SAKAFU ZA EPOXY
Ni sàkafu za kisasa zenye muonekano wa kuvutia na mng'ao maradufu ya tiles,sàkafu hizi hutengenezwa kwa kutumia epoxy matirio k**a epoxy paint,Gardner thinner n.k.

SIFA ZA SaKAFU ZA EPOXY
> Ni imara na zinadumu kwa muda mrefu
>Huleta muonekano wa kisasa na ufahari wakipekee kwenye nyumba Yako
>Zina muunganiko mzuri unao zuia maji kupenya katikati yake (hazina mistari ya maungio k**a tiles)
>Zina faa kwa matumizi ya nyumbani,hospitalini,viwandani n.k
>Hutumika k**a mbadala wa tiles kwenye swimming pool.

Karibu Excellent Builders tukutengenezee sàkafu imara na salama tupigie kwa namba 0767492141

Ramani ya vyumba vi nne
27/11/2025

Ramani ya vyumba vi nne

Ramani ya nyumba ya kulala wageni guest house
23/11/2025

Ramani ya nyumba ya kulala wageni guest house

Address

P. O. BOX 9193 FERRY KIGAMBONI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Excellent Builders posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category