DELTA capital REAL estate

Website

DELTA capital REAL estate Nafasi Yako Kumiliki Ardhi Inaanza Hapa! Karibu Delta Capital Group Ltd, kampuni inayoongoza katika

TWENZETU SHAMBANI – MASHAMBA KIWANGWA, BAGAMOYO 🌱K**a unatafuta uwekezaji wenye gharama nafuu, malipo rahisi na future k...
02/09/2026

TWENZETU SHAMBANI – MASHAMBA KIWANGWA, BAGAMOYO 🌱

K**a unatafuta uwekezaji wenye gharama nafuu, malipo rahisi na future kubwa, basi Mashamba Kiwangwa – Bagamoyo ni fursa ambayo hupaswi kuiacha ipite.

πŸ“ Eneo: Kiwangwa – Bagamoyo
πŸ›£ Upande wa kulia ukitokea Bagamoyo kuelekea Msata
πŸ›£ Umbali: Km 10 tu kutoka Main Road
πŸ“ Mashamba yamepimwa kwa ukubwa wa heka 1 moja moja
πŸ’° Bei ya heka 1: TZS 1,500,000 tu
πŸ“… Muda wa malipo: Hadi miezi 15
πŸ’³ Malipo ya mwezi: TZS 100,000 tu

Kwa nini ununue Mashamba Kiwangwa?

βœ… Ardhi nzuri kwa kilimo na uwekezaji wa muda mrefu
βœ… Heka zimepimwa vizuri kwa umiliki rahisi
βœ… Karibu na barabara kuu, hivyo ni rahisi kufikika
βœ… Eneo lina future kubwa ya maendeleo
βœ… Bei ni nafuu na malipo ni rafiki kwa kila mwananchi
βœ… Unaweza kuanza kujenga urithi wa familia yako kwa gharama ndogo sana ya kila mwezi

Watu wengi hujuta kwa kutonunua ardhi mapema. Leo una nafasi ya kumiliki heka nzima kwa laki 1 tu kwa mwezi na kujijengea mali ambayo thamani yake itaendelea kuongezeka.

πŸ”₯ USISUBIRI HADI BEI ZIPANDE – ANZA SAFARI YAKO YA UMILIKI WA ARDHI LEO! πŸ”₯

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0741 667788
πŸ“ Ofisi: Rita Tower, Posta – Dar es Salaam

Delta Capital Group Ltd – TWENZETU SHAMBANI, TUJENGE KESHO YETU KUPITIA ARDHI.






DeltaCapitalRealEstate

02/09/2026

πŸ”₯ ARDHI NI ZAIDI YA SEHEMU YA KUJENGA β€” NI MSINGI WA MAISHA NA MAENDELEO.

Delta Capital Group Ltd tunakuja na zaidi ya kuuza ardhi. Tunakuwezesha kufanya maamuzi sahihi kuanzia uchaguzi wa eneo, upimaji wa ardhi, usaidizi wa hati, elimu ya uwekezaji hadi ushauri wa mipango ya maendeleo.

Kwa nini Delta?
βœ… Uaminifu na uwazi
βœ… Ujuzi wa sekta ya ardhi na majengo
βœ… Huduma zinazokupa uhakika katika kila hatua
βœ… Tunazingatia mahitaji na malengo ya mteja
βœ… Tunajenga thamani ya muda mrefu, si mauzo ya leo pekee

Tunakuunganisha na fursa. Tunakulinda dhidi ya maamuzi yasiyo sahihi. Tunakusaidia kujenga kesho iliyo bora.

πŸ“ Ofisi: Posta, Rita Tower – Dar es Salaam
DELTA CAPITAL GROUP LTD
Redefine Possibilities.
PropertyTanzania LandInvestment TanzaniaRealEstate

02/09/2026
πŸ”₯ SAGULA SAGULA PROJECT – NJOO NA ULICHONACHO, UJANJA KUWAHI! πŸ”₯🏑K**a ulikuwa unasubiri fursa ya kumiliki kiwanja kikubwa...
21/08/2026

πŸ”₯ SAGULA SAGULA PROJECT – NJOO NA ULICHONACHO, UJANJA KUWAHI! πŸ”₯🏑

K**a ulikuwa unasubiri fursa ya kumiliki kiwanja kikubwa kwa mpango wa malipo rafiki, basi muda wako umefika!

Delta Capital Group Ltd tunakuletea SAGULA SAGULA PROJECT – mradi mpya uliopo Makurunge, Bagamoyo, uliobuniwa kukupa uhuru wa kuchagua ukubwa wa kiwanja unaokufaa.

πŸ“ Eneo: Makurunge – Saadan Road
πŸ›£οΈ Km 2.5 tu kutoka Makurunge Center
πŸ“‘ Mradi umepimwa na kusajiliwa Block L
🏘️ Huduma zote za kijamii zipo karibu na mradi.

πŸ’° BEI ZA VIWANJA

βœ… 500 – 700 SQM β†’ TZS 6,000,000

βœ… 800 – 1000 SQM β†’ TZS 7,000,000

βœ… 1001 – 1200 SQM β†’ TZS 8,000,000

βœ… 1300 – 1800 SQM β†’ TZS 9,000,000

πŸ’³ Malipo ya awali: TZS 500,000 tu. πŸ“… Lipia salio kidogo kidogo kwa miezi 12.

Kwa nini uchague SAGULA SAGULA PROJECT?

βœ”οΈ Eneo linaendelea kukua kwa kasi.
βœ”οΈ Viwanja vikubwa vinavyokupa nafasi ya kujenga nyumba, bustani, biashara au uwekezaji mwingine.
βœ”οΈ Miundombinu na huduma muhimu zipo karibu.
βœ”οΈ Umiliki salama kwenye mradi uliopimwa na kusajiliwa.
βœ”οΈ Malipo yamewekwa rafiki ili kila mwenye maono apate nafasi ya kumiliki ardhi.

Usisubiri mpaka viwanja viishe au bei zipande. Wanaoamua mapema ndiyo wanaonufaika zaidi.

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0741 667788
πŸ“ Ofisi: Rita Tower, Posta – Dar es Salaam
πŸ“² Instagram: DELTA CAPITAL GROUP LIMITED

SAGULA SAGULA PROJECT

NJOO NA ULICHONACHO, UJANJA KUWAHI!






UwekezajiWaArdhi

Address

Simu Street Rita Tower Posta Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DELTA capital REAL estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share