22/07/2026
Karibu Pil ujipatie kiwanja kilichopimwa pamoja na Hatimiliki halali ya WIZARA .
Viwanja Vipo Mkabala na barabara kuu ya lami itokayo KIBADA ,
Viwanja hivi Vipo kwenye ramani Approved na ofisi inakupa Mfumo mzuri wa malipo yaan CASH , installment miezi minne , Au Mkopo miezi 24 (miaka miwili )
Kutembelea site ni kila jumamosi kiofisi .
Kwenda site ni bure - Unajaza form yako mapema kabla ya siku husika .
Kwa mteja mwenyew Usafiri wake siku yeyote Unaweza kwenda site .
Contact: +255799 007 007
Ifanye jumamosi yako kuwa bora kwa kutembelea miradi Yetu mbali mbali .
Dream to reality 🇹🇿🇹🇿✨