20/03/2026
Kutoka Triple E Euro & Exotics, tunawatakia wateja wetu na wadau wote Eid Mubarak! Tunawatakia heri, amani, na furaha katika sikukuu hii tukufu ya Eid Al-Fitr.
Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini k**a kituo chenu bora cha matengenezo na vipuri vya magari ya Ulaya. πβ¨