hikma trading center

hikma trading center wauzaji wa mizani_turubai_cherehani pia ni wauzaji wa embejeo za kilimo.

22/11/2025
21/11/2025

Sisi ni wauzaji wa mizani, cherehani pamoja na pembejeo za kilimo, uaminifu ni wetu, tuna hakikisha tunakupa bidhaa imara na bora,. Bei zetu ni nafuu tofauti na sehemu nyingine. mkoani tunatuma karibu upate kilicho bora na hikma agri solution kwa matokeo mazuri

17/11/2025

Hii ni mashine ya mkono ya kupandia mbegu aina ya punje, mbegu k**a vile mahindi, maharage, kunde, mbaazi, mtama n.k , pia ipo inayoweka mbolea

17/11/2025

Kwa mahitaji ya turubai aina zote za magari, zinapatikana

Address

Nyamwezi/mkunguni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when hikma trading center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category