H&B Legacy Holdings Limited

Website

H&B Legacy Holdings Limited At H&B Legacy Holdings, we integrate real estate with other investment opportunities

08/08/2026
15/07/2026

PUNA GREEN CITY – KIGAMBONI 🌳
Mradi mpya na wa uhakika unaokupa fursa ya kumiliki ardhi maeneo yenye mandhari tulivu na ukuaji wa haraka wa mji 🏑✨

Sifa za MradiπŸ‘‡
βœ… Umbali wa 35km kutoka Kigamboni Ferry
βœ… 3km kutoka barabara kuu (kupitika muda wote)
βœ… Bei ya kulipia taslimu ni 13,000/= kwa sqm
βœ… Bei ya kulipia kwa awamu ni 15,000/= kwa sqm
βœ… Deposit 20%, kisha malipo hadi miezi 12
βœ… Hati miliki za makazi zipo kwenye taratibu za Upimaji

Kwa nini uchague Puna Green City?
β€’ Eneo lipo kwenye mkondo wa ukuaji wa jiji
β€’ Mazingira rafiki kwa kujenga makazi au uwekezaji
β€’ Bei rafiki kwa mtu yeyote anayetaka kuanza safari ya umiliki ardhi

πŸ“ Location: Kigamboni
πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 754 280 525

🌐 www.hblegacy.co.tz

Chukua hatua leo, ardhi haishuki thamani πŸ’―

🏑 H&B LEGACY HOLDINGSBUILDING TOMORROW’S LEGACY TODAY ✨Unatafuta sehemu sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya kesho yako?Huu n...
14/07/2026

🏑 H&B LEGACY HOLDINGS
BUILDING TOMORROW’S LEGACY TODAY ✨

Unatafuta sehemu sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya kesho yako?
Huu ni wakati wa kuchukua hatua na kutembelea maeneo yetu ya uwekezaji. 🌱🏠

πŸ“ Siku zetu za Site Visit ni kila wiki:
βœ… Jumatano
βœ… Jumamosi

Njoo ujionee maeneo yetu, pata maelezo zaidi kuhusu miradi yetu na anza safari ya kujenga legacy yako ya kesho. 🏑✨

Usibaki kusikia tu β€” fika site, ona eneo, fanya maamuzi sahihi.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo:
+255 763 010 626 | +255 754 280 525

🌐 www.hblegacy.co.tz

PropertyInvestment JengaLegacyYako

✨ Heri ya Siku ya Akina Baba Duniani kutoka H&B Real Estates Ltd!​Leo tunawaadhimisha na kuwapongeza akina baba wote kwa...
21/06/2026

✨ Heri ya Siku ya Akina Baba Duniani kutoka H&B Real Estates Ltd!
​Leo tunawaadhimisha na kuwapongeza akina baba wote kwa upendo, miongozo na nguvu wanazowekeza kila siku katika kujenga kesho iliyo bora kwa vizazi vyao. Nyinyi ni nguzo na kielelezo halisi cha ujenzi wa urithi thabiti (Legacy).

​Tunawatakia maadhimisho mema ya Siku ya Baba! 🌟
β€‹πŸ’ H&B Real Estates Ltd | Building Tomorrows Legacy

🌍 www.hblegacy.co.tz
πŸ“² H&B Legacy Holdings Limited

​

10/06/2026

πŸ”₯ FURSA ADIMU – VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI YALEYALE PUNA, DSMπŸ”₯

PUNA GREEN CITY mradi wa H&B LEGACY HOLDINGS chaguo sahihi kwa makazi bora na uwekezaji wa uhakika.

πŸ“ Yaleyale – PUNA, Dar es Salaam

*SIFA ZA MRADI*

βœ… Viwanja vimepimwa na kuhakikiwa na Mamlaka husika ya ardhi
βœ… Km 35 kutoka kigamboni ferry
βœ… Km 3 kutoka main road
βœ… Km 5 kutoka baharini
βœ… Cash 13,000 per Sqm
βœ… Installment 15,000 per Sqm
βœ… Malipo ya awali 20%
βœ… Malipo ya awamu ni Kwa miezi 12
βœ… Karibu na barabara kuu, shule, hospitali
βœ… Umeme na maji karibu
βœ… Eneo linaendelea kwa kasi
πŸ“ Ukubwa & Bei:
πŸ”Ή 400 Sqm – 5,200,000
πŸ”Ή 600 Sqm– 7,800,000
πŸ”Ή 500 Sqm– 6,500,000
🚐 ZIARA YA SITE (SITE VISIT) ni Kila Jumatano na Jumamosi

πŸ“ Ofisi zetu zipo Posta jengo la Rita (Rita Tower), Floor no 22
πŸ‘₯ Plots zimebaki chache wahi sasa
πŸ”₯ Nafasi ni chache!
πŸ‘‰ Jiunge nasi sasa uwahi eneo bora

Wasiliana nasi sasa kupitia
+255 763 010 626
+255 754 280 525
www.hblegacy.co.tz


OwnYourLand SmartInvestment PlotsForSale AffordablePlots

πŸŒ™βœ¨ EID AL-ADHA MUBARAK βœ¨πŸŒ™On this blessed occasion of Eid Al-Adha, H&B REAL ESTATES LTD tunawatakia wateja wetu, washirik...
27/05/2026

πŸŒ™βœ¨ EID AL-ADHA MUBARAK βœ¨πŸŒ™

On this blessed occasion of Eid Al-Adha, H&B REAL ESTATES LTD tunawatakia wateja wetu, washirika wetu, marafiki na familia zote Eid yenye furaha, amani na baraka tele. 🀍

May this special day remind us of the importance of faith, sacrifice, unity, and kindness.
Tunawaombea afya njema, mafanikio, prosperity na happiness katika kila hatua ya maisha yenu. πŸ™πŸΎ

As we celebrate together, may Allah accept your prayers and sacrifices, and fill your homes with peace and joy. πŸ•Œβœ¨

Thank you for trusting H&B REAL ESTATES LTD β€” Building Tomorrow’s Legacy 🏑

πŸ“ Follow us:
🌐 H&B Legacy

Tanzania BlessedEid

πŸ’šπŸŒΈ HAPPY MOTHER’S DAY πŸŒΈπŸ’šLeo tunawasherehekea wanawake wa thamani kubwa zaidi katika maisha yetu β€” Mama zetu πŸ’Asanteni kw...
10/05/2026

πŸ’šπŸŒΈ HAPPY MOTHER’S DAY πŸŒΈπŸ’š

Leo tunawasherehekea wanawake wa thamani kubwa zaidi katika maisha yetu β€” Mama zetu πŸ’

Asanteni kwa:
✨ Upendo usiochoka
✨ Malezi yenye hekima
✨ Sacrifice zenu za kila siku
✨ Dua na nguvu mnazotupa kila wakati

Mama ni msingi wa familia na nguzo ya jamii πŸ’šπŸ‘

Katika siku hii maalum, H&B Legacy Holdings Limited tunawatakia akina mama wote furaha, afya njema na maisha yenye baraka tele πŸ™

🌷 β€œA mother’s love builds generations and creates true legacy.”

πŸ“ž +255 763 010 626
πŸ“ž +255 754 280 525
🌐 hblegacy.co.tz

RealEstateTZ MothersLove Tanzania WomenOfValue BuildingTomorrowsLegacy

Happy May Day! πŸ‘·πŸ½β€β™‚οΈπŸ—οΈTunathamini juhudi, ubunifu na kazi kubwa ya kila mfanyakazi, developer na mwekezaji anayechangia ...
01/05/2026

Happy May Day! πŸ‘·πŸ½β€β™‚οΈπŸ—οΈ

Tunathamini juhudi, ubunifu na kazi kubwa ya kila mfanyakazi, developer na mwekezaji anayechangia maendeleo ya taifa letu.

Real estate investment builds fortunes, development drives growth.

Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano πŸ‡ΉπŸ‡ΏLeo tunaenzi umoja, mshikamano na historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar u...
26/04/2026

Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Leo tunaenzi umoja, mshikamano na historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioleta taifa moja lenye nguvu.

Tunaendelea kujivunia mafanikio yaliyopatikana na kuahidi kushirikiana kujenga Tanzania bora zaidi kwa vizazi vijavyo.

Address

RITA Tower, 22nd Floor Makunganya/4 Simu Street
Dar Es Salaam
25522

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when H&B Legacy Holdings Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share