Chris the plot guy

Chris the plot guy �Nakusaidia Kupata Viwanja Vilivyopimwa Na Kuthibitishwa Kisheria.
📌Ushauri wa masuala ya Ardhi
�Hati Miliki Bure.
� 0687 626 588.

14/05/2026

Ardhi haijawahi kumtupa mtu.Gharama za kumiliki kiwanja leo zitakuwa stori za kushangaza huko mbeleni😳 K**a huyu👆 kiwanja cha 320k 2003 leo ni 50M

Miliki kiwanja leo kikuheshimishe kesho Dream Life Properties tuko kwa ajili yako

mawasiliano zaidi
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location



10/05/2026

Tag your mom or a mother who inspires you every day 👑💐

Behind every strong family is a loving mother ❤️🌸

This Mother’s Day, we celebrate all mothers for their endless love, strength, and sacrifices.

For more details
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location

07/05/2026

Je wajua ukifika tu site fursa mpya za uwekezaji utaziona?
Yes, ni weekend hii🚘

book mapema
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location

01/05/2026

Dunia inatambua jitihada zinazofanywa na wafanyakazi ili kuleta maendeleo katika sekta mbalimbali k**a kiuchumi,kijamii na kisiasa🔥📌📌

Sisi k**a dream life Properties tunatambua pia mchango wenu katika kuleta maendeleo ya taasisi ilikuweza kuwafikia na kuwahudumia wawekezaji na watanzania kiujumla katika kujenga kesho iliyo bora kwa kumiliki maeneo📕,mashamba📔 na viwanja kwa ajili ya makazi na biashara🏢🏢

Tunawatakia kheri ya siku yenu hii🤝🤝

Mawasiliano zaidi
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location

'sday


26/04/2026

HAPPY UNION DAY🤝🤝. K**a ilivyo kwa taifa letu, Ardhi nayo huleta thamani pale inapolindwa na kusimamiwa vizuri na kutumika kwa malengo mema

Tuijenge kesho bora kwa vizazi vijavyo💪💪

Linda taifa lako linda Ardhi yako📌📌

more details
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location





20/04/2026

Iwe jua iwe mvua Dream Life Properties tumedhamiria maboss zetu kuwawezesha kumiliki viwanja vya makazi na biashara, maeneo na mashamba kwa wawekezaji bila kujali hali ya hewa💪💪

kwa mawasiliano
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location



07/04/2026

Tutakukumbuka kwa mengi Baba😭




02/04/2026

Dream Life Properties tunawatakia ijumaakuu njema kwa wadau wote. Tukumbuke kwa habari ya toba ya kweli kusamehe wengine, upendo na kujitoa kwa ajili ya wengine...

Mungu atusaidie

Wasiliana nasi
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location



02/04/2026

HII NI TOFAUTI KATI YA HATI YA KIWANJA NA HATI YA SHAMBA....

Yes👍, utofauti wake uko kwenye MATUMIZI ya eneo husika.

Hati ya kiwanja inaeleza matumizi yake ni kwa ajili ya MAKAZI🏛 au BIASHARA🏘

Hati ya shamba inaeleza matumizi ya eneo ni kwa ajili ya KILIMO🍎 au UFUGAJI🐎

Kwahiyo kinachotofautisha Hati hizi ni MATUMIZI ya eneo husika.

Karibu kwa maswali mengi kuhusu Umiliki wa ardhi na tutakujibu haraka iwezekanavyo.

Mawasiliano
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location





21/03/2026

Hakikisha unafanya chaguo sahihi kabla hujakutana na hii migogoro ambayo haitakusumbua wewe tuu mpaka wajukuu na watoto wao yaani imebeba maisha ya watu wengi hapo baadae....

Swali je unawezaje kutoingia kwenye aina hizi za migogoro?

Jibu ni moja kwa kutuamini sisi Dream Life Properties unaweza kuondokana na migogoro hii kwani,
1.Viwanja vyetu haviuzwi mara mbili
2.Viwanja vimepimwa kisheria na mipaka inatambulika kisheria kabisa kwani ina beacon za wizara.
3.Viwanja ni vya kampuni si familia
4.Kabla ya kununua eneo tunafanya utafiti wa kina hii hutusaidia tusiingiliane na maeneo ya serikali k**a hifadhi n.k
5.Nyaraka zote ni sahihi na za kuridhisha

Wasiliana nasi leo
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location



20/03/2026

Dream Life Properties tunawatakia kheri waislamu wote katika sikukuu hii ya Eid. Mungu azidi kutupa amani, upendo, mshik**ano na furaha tele.

Endelea kutukumbatia sisi Dream Life Properties kwa ubora na uthamani wa ndoto zako.

Wasiliana nasi leo
📞/WhatsApp 0687 626 588
Prime location





Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chris the plot guy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category