Jtc.realestate

Jtc.realestate Wauzaji wa viwanja bei nafuu
Tunakusaidia kupata Kiwanja cha ndoto yako

29/05/2026

🏠 SPECIAL OFFER FOR SABASABA !

Viwanja vya Pingo – Chalinze vinapatikana katika location nzuri sana, umbali wa mita 400 tu kutoka Morogoro Road. πŸš—

✨ Huduma zote muhimu zipo:
πŸ’§ Maji ya DAWASCO
⚑ Umeme
🏫 Shule
πŸ₯ Zahanati

πŸ”₯ Usikose offer ya SABA SABA!
Huu ndio muda sahihi wa kuchukua hatua kabla nafasi hazijaisha.

23/05/2026
🏑 MPIJI KIBESA NDIO SEHEMU SAHIHI YA UWEKEZAJI WAKO! πŸ”₯Miliki kiwanja chako leo kwa bei nafuu kabisa eneo lenye maendeleo...
20/05/2026

🏑 MPIJI KIBESA NDIO SEHEMU SAHIHI YA UWEKEZAJI WAKO! πŸ”₯

Miliki kiwanja chako leo kwa bei nafuu kabisa eneo lenye maendeleo ya haraka na huduma zote muhimu zinapatikana.

πŸ“
βœ… 400 SQM
βœ… Dakika chache kutoka Barabara ya Mbezi – Mpiji
βœ… Karibu na Shule ya Msingi Kibesa
βœ… Malipo kwa CASH au MKOPO wa miezi 4
βœ… Kianzio ni 40% tu
πŸ’° BEI YA CASH: 5,250,000/=
πŸ’³ MK0PO: 6,750,000/=

Hii ni nafasi yako ya kuwekeza leo kabla bei haijapanda kesho! πŸš€

Usikubali kupitwa na fursa ya kumiliki eneo lenye future kubwa.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 684 126 476
RealEstateTanzania ViwanjaMpiji DarEsSalaam KiwanjaChako LandForSale TanzaniaRealEstate WekezaLeo ViwanjaVyaBeiNafuu JTCProperties

🏑 USIKOSE FURSA YA KUMILIKI KIWANJA CHAKO SASA! πŸ‘πŸ“ Kibaha – Boko MnemelaUmbali wa KM 12 tu kutoka Kibaha Stand πŸš—πŸ”₯ Viwanj...
15/05/2026

🏑 USIKOSE FURSA YA KUMILIKI KIWANJA CHAKO SASA! 🏑

πŸ“ Kibaha – Boko Mnemela
Umbali wa KM 12 tu kutoka Kibaha Stand πŸš—
πŸ”₯ Viwanja vyenye ukubwa wa SQM 400 kwa bei nafuu kabisa: πŸ’° Cash: Tsh 2,500,000/=
πŸ’³ Mkopo: Tsh 3,500,000/=

Hii ni nafasi yako ya kuwekeza eneo lenye ukuaji mkubwa na thamani inayoongezeka kila siku! 🌍

βœ”οΈ Mazingira mazuri
βœ”οΈ Eneo linafikika kirahisi
βœ”οΈ Uwekezaji salama kwa familia na biashara
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kabla viwanja havijaisha!

πŸ“² +255 684 126 476
MilikiKiwanja Kibaha RealEstateTanzania ViwanjaDar PlotForSale Investment TanzaniaRealEstate ViwanjaVyaBeiPoa NunuaKiwanja

🏑 MPIJI CHAMA β€” Eneo la Uhakika kwa Makazi na Uwekezaji! πŸ”₯Unatafuta kiwanja eneo lenye maendeleo, huduma muhimu na bei r...
15/05/2026

🏑 MPIJI CHAMA β€” Eneo la Uhakika kwa Makazi na Uwekezaji! πŸ”₯

Unatafuta kiwanja eneo lenye maendeleo, huduma muhimu na bei rafiki?

Hii ndiyo nafasi yako ya kumiliki kiwanja SQM 400 katika eneo la kifahari la Mpiji Chama πŸ“

βœ… Umeme unapatikana
βœ… Maji yanapatikana
βœ… Gari linafika hadi site
βœ… Mita 500 tu kutoka barabara kuu
βœ… KM 8 kutoka Mbezi Mwisho
πŸ’° CASH: Milioni 10 tu
πŸ’³ AWAMU: Milioni 13 tu

Usikubali kupanga maisha yote wakati unaweza kumiliki eneo lako leo!
Nunua sasa kabla bei haijapanda kesho πŸš€

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 684 126 476
πŸ“ PSSSF Samora House, Posta – Dar es Salaam
RealEstateTanzania KiwanjaChako LandForSale DarEsSalaam InvestToday ViwanjaVyaMakazi PropertyInvestment TanzaniaRealEstate NunuaKiwanja ViwanjaMpiji

🌱 Fursa ya Kipekee kwa Wakulima na Wawekezaji! 🌱Miliki shamba lako mwenyewe maeneo ya Bungu Kibiti yenye rutuba kubwa na...
15/05/2026

🌱 Fursa ya Kipekee kwa Wakulima na Wawekezaji! 🌱

Miliki shamba lako mwenyewe maeneo ya Bungu Kibiti yenye rutuba kubwa na uhakika wa maji mwaka mzima! πŸšœπŸ’§

Hii ni nafasi ya kuanza kilimo chenye faida au uwekezaji utakaozidi kukupa thamani kila siku.
βœ… Hekari 1 kuanzia 500,000/= CASH
βœ… Lipa kidogo kidogo kwa Mkopo wa 700,000/=
βœ… Kianzio ni 40% tu
βœ… Eneo linafikika kirahisi kutoka Kilwa Road
βœ… Mazingira bora kwa kilimo cha mboga, matunda na mazao mbalimbali 🌽πŸ₯¬πŸ₯•

Usikose nafasi hii ya kumiliki ardhi yenye thamani kubwa kwa bei nafuu!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kabla maeneo hayajaisha.
MashambaYaKuuzwa ArdhiTanzania RealEstateTanzania FursaZaUwekezaji KilimoChaFaida NunuaShamba DarEsSalaam TanzaniaInvestment FarmLife LandForSale

πŸ”₯ USIKOSE FURSA HII YA KIPEKEE! πŸ”₯Miliki shamba lako leo eneo la Kiwangwa – Kaloleni πŸ“Umbali wa KM 4 kutoka Bagamoyo Road...
28/04/2026

πŸ”₯ USIKOSE FURSA HII YA KIPEKEE! πŸ”₯

Miliki shamba lako leo eneo la Kiwangwa – Kaloleni πŸ“
Umbali wa KM 4 kutoka Bagamoyo Road πŸš—

βœ… Bei ya Cash: 1,000,000/= tu
βœ… Ukubwa: Hekari 1
βœ… Gari linafika hadi site kwa urahisi
βœ… Eneo bora kwa Kilimo, Ufugaji na Makazi
βœ… Thamani ya eneo inaongezeka kila siku

Hii ni nafasi ya kuwekeza leo kwa manufaa ya kesho. Usisubiri uambiwe umechelewa! πŸ”₯

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 684 126 476
πŸ“ PSSSF Samora House, 5th Floor, Posta Dar es Salaam

KilimoBiashara ShambaLako RealEstateTanzania LandForSale DarEsSalaam FursaYaLeo MaliIsiyopotea

πŸ”₯ USIKOSE FURSA YA KUMILIKI KIWANJA MBEEZI MPIJI CCM πŸ”₯Je, unatafuta eneo bora la kuishi au kuwekeza? Sasa ndio muda wako...
28/04/2026

πŸ”₯ USIKOSE FURSA YA KUMILIKI KIWANJA MBEEZI MPIJI CCM πŸ”₯

Je, unatafuta eneo bora la kuishi au kuwekeza? Sasa ndio muda wako! Tunakuletea viwanja vilivyopo barabarani kabisa, vinavyofikika kirahisi na vinafaa kwa makazi pamoja na biashara. πŸ“πŸ‘πŸ’

πŸ’₯ BEI MAALUM: βœ… Block za Mbele
πŸ’° Cash Tsh 22,000,000/=
πŸ’³ Mkopo Tsh 27,000,000/= (Kianzio 40%)

βœ… Block za Nyuma
πŸ’° Cash Tsh 15,000,000/=
πŸ’³ Mkopo Tsh 19,000,000/= (Kianzio 40%)

πŸ“Œ Eneo lina maendeleo mazuri na thamani yake inaongezeka kila siku.

πŸ“² Wahi kuwasiliana nasi sasa kabla nafasi hazijaisha!
RealEstateTanzania PlotsForSale DarEsSalaam KiwanjaChaBiashara KiwanjaChaMakazi LandInvestment FursaYaLeo NyumbaYako ViwanjaVyaBeiNafuu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jtc.realestate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category