11/10/2025
OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA bilali Land Plot INAENDELEA NJOO NA LAKI TATU TU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI 3 hadi mi nne 0689629180 au 0792 629180 whtsapp)
____________________________
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.
(1) Site yenye ofa ni site ya 1,300,000/anza na 340,000/ kisha ulipe 160,000/ kwa mwezi ndani ya miezi sita. Ukubwa wa viwanja vinaanzia fut 50 kwa 40 nakuendelea
(2) Kuna site ya Mipeko C ina viwanja 620
UKUBWA WA VIWANJA KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/
Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.
KUNA SITE ZINGENE ZAID YA KUMI UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO KISHA UKALIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO HADI SITA
Kwa ukubwa wa fut 50 kwa 40 kuna
Site ya 1,200,000/
Site ya 1,300,000/
Site ya 1,500,000/
Site ya 1,600,000/
Site ya 1,800,000
Site ya 2,000,000/
Site ya 2,200,000/
Site ya 2,500,000/
Site ya 3,000,000/
PIA KUNA SITE MPYA
FUT 50 KWA 40 = 4,000,000/ HII IPO KATIKATI YA MJI
SITE ZOTE ZIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO
Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.
Bilali Land Plot watakupatia hitaji la moyo wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0689629180 au 0792629180