Shukran Wilbert Marketing

Shukran Wilbert Marketing My name is Shukran Wilbert Kando welcome to
“Connecting people and businesses to growth through strategic marketing and sales.”

16/04/2026

TOYOTA LAND CRUISER
ZERO KILOMETER
MZIGO UMEINGIA LEO APRIL 16
KARIBU SANA
WASILIANA NASI
TFL MOTORS GROUP (BEST IN TOWN)
🚀🔥

14/03/2026

Habari ndugu zangu, natumaini nyote ni wazima, nina furaha kuwajulisha kuwa huu ni ukurasa wangu mpya wa mtandao wa facebook ambao utajikita zaidi kwenye kutoa elimu mbalimbali ya vitu na mambo mbalimbali ya kijamii.

Karibuni sana

Karibu TFL INSURANCE AGENCY uweze kukatia bima chombo chako 🚘🛠️🏍️🔥
30/12/2025

Karibu TFL INSURANCE AGENCY uweze kukatia bima chombo chako 🚘🛠️🏍️🔥

TFL MOTORS GROUP tupo hapa kuhakikisha mteja wetu unatimiza ndoto na malengo yako Kwenye kipindi hiki Cha mwisho wa mwak...
26/12/2025

TFL MOTORS GROUP tupo hapa kuhakikisha mteja wetu unatimiza ndoto na malengo yako

Kwenye kipindi hiki Cha mwisho wa mwaka Shukran Wilbert Kando nakupa offer ya discount/punguzo kwenye Kila huduma zetu ambazo ni

1. Hotel🏨🛌 (The eclipse hotel) ukihitaji sehemu bora kupumzika wewe na familia yako basi THE ECLIPSE HOTEL itakuwa chagua Bora tupo Dodoma na Dar es salaam.

2. Gari 🚘 (Land Rover, BMW, Mercedes Benz, AUD, Nissan) haya ni makampuni makubwa ya gari ambayo tunashirikiana wote kuhakikisha unapata kitu Bora, hivo ukipata gari kwenye mdimu huu kupitia Mimi then discount/punguzo itakuwa Kubwa na offer mbalimbali k**a
*Punguzo la bei ya bima* 📔🚘📔(Yaani utalipia kiasi Cha bei ya bima halisi afu sisi TFL MOTORS GROUP tutakupa cash ya asilimia 5 ya bima yako.

*Matengenezo/Repair and maintenance*🛠️🚑- Sasa hii ni Baba Kubwa utapata kutengenezewa gari lako na mafundi wabobezi/experts na kwa muda mchache sana gari lako litakuwa jipyaaaa🥳🥳

Address

Ubungo Riverside
Dar Es Salaam
16103

Telephone

+255784068379

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shukran Wilbert Marketing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shukran Wilbert Marketing:

Share