26/05/2026
JONABA CATERING SERVICES 🔥
“We Love Cooking”
Unatafuta huduma bora ya chakula kwenye event yako? 🎉
Sisi ndio suluhisho kamili – ubora, usafi na ladha ya hali ya juu! 😋
📍 Tunapatikana Bunju – Dar es Salaam
🍽️ HUDUMA ZETU
✅ Catering ya Harusi 💍
✅ Birthday Parties 🎂
✅ Kitchen Party & Send-off 💐
✅ Corporate Events 🏢
✅ School Events & Buffet 🎓
✅ Kukodisha vifaa (Viti, Meza, Chafing dishes, n.k)
💼 PACKAGES ZETU (Bei Nafuu Kabisa)
🥉 Basic Package – Tsh 10,000 kwa mtu
✔️ Wali + Maharage / Mchuzi
✔️ Mboga
✔️ Saladi
✔️ Tunda
🥈 Standard Package – Tsh 15,000 kwa mtu
✔️ Wali / Pilau
✔️ Nyama ya Ng’ombe / Kuku
✔️ Mboga + Salad
✔️ Tunda + Juice
🥇 Premium Package – Tsh 20,000+ kwa mtu
✔️ Pilau / Biryani
✔️ Kuku + Nyama / Samaki
✔️ Chips / Ndizi
✔️ Salad full mix
✔️ Matunda + Dessert
✔️ Soft Drinks
OFa MAALUM
Event ya watu 50+ → Tunakupa Free Salad Mix
Event ya watu 100+ → Discount Maalum + Setup Bure
Booking ya mapema → Punguzo la hadi 10%
📞 Wasiliana Nasi Sasa
📱 +255 623 453 236 [email protected]
JONABA CATERING SERVICES – Tunahakikisha mgeni wako anaridhika na ladha, wewe unabaki na kumbukumbu nzuri!