MSN real estate agencydsm

MSN real estate agencydsm Tunauza viwanja vilivyopimwa kwa gharama nafuu
Na malipo ni kwa awamu
tunapatikana Mbande,Dar es sala

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA M.S.N REAL ESTATE AGENCY INAENDELEA NJOO NA LAKI TATU TU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDAN...
17/11/2025

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA M.S.N REAL ESTATE AGENCY INAENDELEA NJOO NA LAKI TATU TU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI SITA.
_____________________________________
(0759857276whtsapp)
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

(1) Site yenye ofa ni site ya 1,300,000/anza na 340,000/ kisha ulipe 160,000/ kwa mwezi ndani ya miezi sita. Ukubwa wa viwanja vinaanzia fut 50 kwa 40 nakuendelea

(2) Kuna site ya Mipeko C ina viwanja 620

UKUBWA WA VIWANJA KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/

Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.


KUNA SITE ZINGENE ZAID YA KUMI UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO KISHA UKALIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO HADI SITA

Kwa ukubwa wa fut 50 kwa 40 kuna

Site ya 1,200,000/
Site ya 1,300,000/
Site ya 1,500,000/
Site ya 1,600,000/
Site ya 1,800,000
Site ya 2,000,000/
Site ya 2,200,000/
Site ya 2,500,000/
Site ya 3,000,000/

PIA KUNA SITE MPYA
FUT 50 KWA 40 = 4,000,000/ HII IPO KATIKATI YA MJI

SITE ZOTE ZIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO

Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.

M.S.N real estate
Mawasiliono zaidi 0759857276

17/11/2025

Address

Mbande
Dar Es Salaam
11101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MSN real estate agencydsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category