ndororo GROUP-mbezi mahenge

ndororo GROUP-mbezi mahenge vikoba

25/05/2026
NI KHERI NA BARAKA NDUGU KUKAA PAMOJA!hapo ni muunganiko wa vikundi viwili vya ndororo GROUP-mbezi mahenge na  lumu,wote...
25/05/2026

NI KHERI NA BARAKA NDUGU KUKAA PAMOJA!hapo ni muunganiko wa vikundi viwili vya ndororo GROUP-mbezi mahenge na lumu,wote tukitokea MAHENGA ULANGA MOROGORO .tulipoketi pamoja na kuungana katika kusaidiana kwa hali namali kwenye shida na raha!karibuni sana

TUMETOKA KWETU MAHENGEEEEEE,TUMEKUJAA DARESALAMAAA TUISYAGULI NDORORUUUUUU.Moja kati ya midundo ya ngoma kali ya sanguri...
14/05/2026

TUMETOKA KWETU MAHENGEEEEEE,TUMEKUJAA DARESALAMAAA TUISYAGULI NDORORUUUUUU.Moja kati ya midundo ya ngoma kali ya sanguri kipindi hicho.Basi nasi tunasema TUMEICHAGUA NDOROR GROUP!Karibuni sana,TUNAZIDI KUKUAAA

04/03/2026
NDOROROgroup inawatakia KWARESMA NJEMA NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN WANACHAMA  WOTE!
19/02/2026

NDOROROgroup inawatakia KWARESMA NJEMA NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN WANACHAMA WOTE!

14/02/2026

TUKIUNGANA NA WENZETU WA MKOMBOZI A na B KATIKA UZINDUZI WA VIKUNDI VYAO!matukio zaidi yatawajia hivi punde

25/01/2026

MAPEMA LEO:tulikuwa na kikao cha pamoja kati ya kikundi chetu cha NDORORO GROUP pamoja na wenzetu wa LUSHIGA LUMU(KILULU)ajenda kuu ya kikao hiki ilikuwa ni kutuunganisha na kutufanya tuwe pamoja ingawa tupo pande mbili tofauti,kwani kiasili yetu wote maskani yetu mahemge ulanga ila tofauti ya maeneo tu!hivyo tumekuja na makubaliano ya kuwa mfano wa TANZANIA moja yenye BARA NA VISIWANI!lengo likiwa ni umoja na ushirikiano katika SHIDA NA RAHA na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja,vikundi na jamii kwa ujumla!WAPOGORO TUNAWEZA!karibuni sana!tulia mseli na kutota!πŸ˜€πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

ndororo group tukiwa kikaoni leo!kila kitu kinakwenda kisasa zaidi kwa kumbukumbu NA MIFUMO YA kisasa!uongozi uliojitosh...
11/01/2026

ndororo group tukiwa kikaoni leo!kila kitu kinakwenda kisasa zaidi kwa kumbukumbu NA MIFUMO YA kisasa!uongozi uliojitoshereza chini ya sheria za NCHI!KARIBUNI NYOTE WANA WA MOROGORO,MAHENGE ULANGA

wana NDORORO tuliweka kambi kwenye kusherehekea ubatizo wa watoto wa mwanakikundi mwenzetu ndg GODFREY NGUJI!kwa hakika ...
31/12/2025

wana NDORORO tuliweka kambi kwenye kusherehekea ubatizo wa watoto wa mwanakikundi mwenzetu ndg GODFREY NGUJI!kwa hakika mambo yalikuwa moto sana!penye UMOJA NA USHIRIKIANO,kila kitu kinakuwa bomba!sisi NDORORO HATUNA JAMBO DOGO!hongereni wanetu!mkawe wakristo IMARAπŸ™πŸ™

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam
MBEZI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ndororo GROUP-mbezi mahenge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category