Fuko Hardware.

Fuko Hardware. we sell and supply quality sanitary and roofing materials.

First Sometimes being lost has nothing to do with the road and everything to do with refusing guidance. What do you thin...
09/05/2026

First Sometimes being lost has nothing to do with the road and everything to do with refusing guidance. What do you think about this?

Many people struggle for years not because opportunities are missing, but because they reject advice, correction, and support. Pride convinces them they must figure everything out alone.

They ignore people with experience, refuse to ask questions, and keep moving in the wrong direction while pretending to be confident. But life has a way of humbling those who refuse to listen. A journey becomes longer and harder when wisdom is ignored along the way.

Strong people are not the ones who know everything. Strong people are willing to learn. They understand that asking for help can prevent unnecessary pain, wasted time, and avoidable mistakes.

Every successful person was once guided by someone, corrected by someone, or taught by someone. Growth becomes easier when humility opens the door to learning instead of ego closing it.

Think about this honestly. Why do you think so many people fear asking for directions in life, and do you believe pride causes more delay than lack of opportunity?

Keep the answers for yourself!

A winning mindset doesn’t mean you win every time-it means you don’t let defeat stop you from trying again.
06/05/2026

A winning mindset doesn’t mean you win every time-it means you don’t let defeat stop you from trying again.

Watu wana vitu vingi vizuri vya kusema kuhusu wewe ila unapaswa kufa kwanza.
23/04/2026

Watu wana vitu vingi vizuri vya kusema kuhusu wewe ila unapaswa kufa kwanza.

Don't buy a life you can't afford to enjoy.
20/04/2026

Don't buy a life you can't afford to enjoy.

20/04/2026

Ficha unayo yapitia ili uwape matumaini wanaokutegemea!

14/04/2026
Ndugu mteja.Njia pekee ya kutunza hizo pesa zako chache si kuongeza kipato mara moja, bali ni kujifunza kusema neno moja...
07/04/2026

Ndugu mteja.

Njia pekee ya kutunza hizo pesa zako chache si kuongeza kipato mara moja, bali ni kujifunza kusema neno moja gumu lakini la thamani kubwa:.“SINA.”

“SINA” sio dalili ya umaskini, ni alama ya nidhamu. Ni kauli ya mtu anayejitambua, anayejua mipaka ya uwezo wake, na anayeheshimu kesho yake kuliko presha ya leo. Wengi wetu tunapoteza pesa si kwa sababu hatupati, bali kwa sababu hatujui kuzilinda.

Kuna wakati utaombwa mchango usio wa lazima. Kuna wakati rafiki atakushawishi kutumia pesa kwenye starehe ambazo hazina faida kwako. Kuna wakati utajikuta unataka kununua kitu ili tu uonekane una uwezo mbele za watu. Hapo ndipo nguvu ya “SINA” inahitajika.
Kusema “SINA” si kwamba kweli huna hata shilingi moja mfukoni.

Mara nyingi unayo, lakini umechagua kuihifadhi kwa jambo la maana zaidi k**a mahitaji yako ya msingi, mipango yako ya baadaye, au dharura zinazoweza kujitokeza. Hii ni hekima, si udhaifu.

Ukweli ni kwanba watu wengi wanateseka kimya kimya kwa sababu walishindwa kusema “SINA” wakati ilipotakiwa. Walikubali kubeba mizigo isiyo yao, walitumia pesa kwa kujifurahisha kwa muda mfupi, na baadaye wakajikuta hawana hata ya kujisitiri.

Jifunze kuwa na msimamo. Sio kila mtu ataelewa, na sio kila mtu atafurahia. Wengine watakuita mchoyo, wengine watasema umebadilika. Lakini kumbuka, si jukumu lako kuwafurahisha watu kwa gharama ya maisha yako.

Kila unaposema “SINA” kwa jambo lisilo la lazima, unakuwa umejiambia “NDIYO” kwa maisha yako ya baadaye. Unajenga heshima binafsi, unajenga utulivu wa akili, na unajiweka katika nafasi bora ya kufikia malengo yako.

Heshimu jasho lako. Linda kidogo ulichonacho. Na usione aibu kusema. “Samahani, kwa sasa sina.”

Ndani ya maneno hayo mafupi, kuna nguvu kubwa ya kubadilisha maisha yako.

Karibu sana!

Ujenzi si safari ya bahati nasibu unahitaji vifaa imara, huduma ya kuaminika na mshirika anayesimama na wewe mpaka mwish...
07/04/2026

Ujenzi si safari ya bahati nasibu unahitaji vifaa imara, huduma ya kuaminika na mshirika anayesimama na wewe mpaka mwisho.
ndicho kituo chako cha ubora na thamani halisi ya pesa yako

Tunakuwekea mabati yanayodumu, vifaa vinavyolinda nyumba yako kwa miaka mingi, na huduma inayokupa amani ya moyo kutoka unapoingia hadi unapotoka.

Hapa hatuuzi tu bidhaa tunaunda msingi wa ndoto zako na kulinda kila tone la jasho lako

Bei zetu za uhakika.
• Migongo Mipana: Tsh 20 000/=
• Migongo Midogo: Tsh 20 000/=
• Kofia & Valleys: Tsh 10,500/=
• Misumari: Tsh 6,500/=

Na pia tunapokea special orders kwa wateja wetu wapendwa. Vipimo maalum

Fuko Hardware Huduma Ubora bila kupungua
Tunapatikana Ubungo millennum business park.

Tunatuma mikoani yote kwa gharama zetu. Piga simu au WhatsApp 0767334511

🏠 BEI RASMI ZA MABATI – MOJA KWA MOJA KUTOKA KIWANDANI! 🏠🚚 Usafiri wa uhakika nchi nzima – popote ulipo Tanzania 🇹🇿🔹 MAB...
02/04/2026

🏠 BEI RASMI ZA MABATI – MOJA KWA MOJA KUTOKA KIWANDANI! 🏠
🚚 Usafiri wa uhakika nchi nzima – popote ulipo Tanzania 🇹🇿

🔹 MABATI MIGONGO (IT 4, 5 & 6)

📌 Gauge 30

Kawaida: TZS 320,000
Chenga: TZS 410,000

📌 Gauge 28

Kawaida: TZS 460,000
Chenga: TZS 490,000

🔹 VERSATILE (Mfano wa Kigae)

📌 Gauge 30

Kawaida: TZS 580,000
Chenga: TZS 610,000
📌 Gauge 28

Kawaida: TZS 640,000
Chenga: TZS 660,000

🔧 SPECIAL ORDER – Urefu Unaotaka Wewe

📌 Bei kwa mita

Gauge 30: 11,500/=
Gauge 28: 15,000/=
Kigae: 17,000/=

✨ Chenga chengaa (Premium)

Gauge 30: 12,500/= kwa mita
Gauge 28: 15,500/= kwa mita
Kigae 28G: 17,500/= kwa mita

🧰 Tuna vifaa vyote vya kuezekea.

✔️ Kofia
✔️ Valley
✔️ Misumari
✔️ Crimping

💎 Kwa nini uchague mabati yetu?

✔️ Hayashiki kutu (Aluminium + Zinc nyingi)
✔️ Yanadumu kwa miaka mingi
✔️ Yanastahimili jua kali na mvua
✔️ Yanapatikana kwa rangi mbalimbali

🚛 Tunasambaza nchi nzima kwa haraka na uhakika!
Bei zetu ni za kiwandani – nafuu bila udalali!

📞 Wasiliana nasi sasa.

📲 0767334511

👉 Jenga kwa uhakika, jenga kwa ubora!

Address

UBUNGO
Dar Es Salaam
91006

Telephone

0654000894

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fuko Hardware. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share