ummu fawzaan sell

ummu fawzaan sell Bussiness and advices

Wapendwa naweza kupata wapi mabalo ya nguo za kuswalia mchanganyiko majuba mitandio na magauni kwa anayejua tafadhali na...
03/06/2026

Wapendwa naweza kupata wapi mabalo ya nguo za kuswalia mchanganyiko majuba mitandio na magauni kwa anayejua tafadhali na bei zake

═════❁✿❁════💎⚘♡💔♡⚘💎*“Tabia njema huonekana zaidi baada ya mahusiano kuvunjika. Kutunza aibu na siri za mtu ambaye hamuon...
03/06/2026

═════❁✿❁════
💎⚘♡💔♡⚘💎
*“Tabia njema huonekana zaidi baada ya mahusiano kuvunjika. Kutunza aibu na siri za mtu ambaye hamuongei naye tena ni ishara ya heshima, utu na ukomavu wa kweli“*
💎⚘♡💔♡⚘💎 hii I natokea sana kwa hawa wanaojiita bff je wewe una bff? Unamwamini na hawezi kukuangusha? tiririkaaaa

═════❁✿❁════

═════❁✿❁════
══════❁✿❁════
💎⚘♡💔♡⚘💎
*“Good character is more visible after a relationship breaks down. Taking care of the shame and secrets of someone you no longer talk to is a sign of respect, dignity and true maturity“*
💎⚘♡💔♡⚘💎 this happens a lot to those who call themselves bff do you have a bff? Do you trust him and he can't let you down? tiririkaaaa

══════❁✿❁════
Feedback

Yangu kwenye comment
02/06/2026

Yangu kwenye comment

With Wadada Na Mastory – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 4 weeks in a row. 🎉
02/06/2026

With Wadada Na Mastory – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 4 weeks in a row. 🎉

With Wadada Na Mastory – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 4 weeks in a row. 🎉Let's go
02/06/2026

With Wadada Na Mastory – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 4 weeks in a row. 🎉Let's go

01/06/2026

Chopper 2L

Tsh.35000 tu inasaga nyama, viungo lishe n.k uhakika kabisa popote inakufikia

Usiku mwema wapenz.... Nyie mnalala sangap au mnakesha k**a popo kila mtu ataje muda wake wakulala
31/05/2026

Usiku mwema wapenz.... Nyie mnalala sangap au mnakesha k**a popo kila mtu ataje muda wake wakulala

Wapenz eti ni kweli maji ya mvua ukinywa yanaweza kukusababishia tonses
29/05/2026

Wapenz eti ni kweli maji ya mvua ukinywa yanaweza kukusababishia tonses

Jaman anayejua dawa ya nyungu nyungu zinawasumbua sana watoto msaada tafadhali
29/05/2026

Jaman anayejua dawa ya nyungu nyungu zinawasumbua sana watoto msaada tafadhali

29/05/2026

I got over 50 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉 Nawapenda sana bila nyie sitoboi.... Chagueni zawadi walau niwaahidi

Address

Kigambon
Dar Es Salaam
DARESSALAAM

Telephone

+22654279611

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ummu fawzaan sell posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ummu fawzaan sell:

Share

Category