Peter Uriyo

Peter Uriyo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Peter Uriyo, Dodoma.

07/02/2026

Silage ya Super Napier 💪🐄🐂

12/01/2026

URIYO EXACUTIVE ARENA:
Gharama za kumbi: kwa huduma ya siku moja:

Ukumbi mkubwa: (main hall) kwa tukio la watu wasiozidi mia tatu, (300pax) ni shilingi milioni mbili tu.
(,2,000,000.) Na Kwa kila mtu mmoja atakaye ongezeka itaongezeka shilingi elfu tano. (5,000.)
Kwa mkao wa HARUSI, wa viti na meza, Ukumbi unauwezo wa wa kuchukua watu elfu moja na mia nne (1400.)
na kwa mkao wa viti peke yake ukumbi unauwezo wa kuchukua watu elfu tatu na mia sita (3,600.)

Pia tuna kumbi ndogo za semina 'SEMINAR ROOMS, & BOARD ROOMS gharama kwa siku ni shilingi elfu arobaini na tano (45,000) kwa kichwa (mtu mmoja) hapo unapata huduma ya
Ukumbi wenye viti, meza, ac, feni, pa system, tv, projector, wi fi,
pia utapata chai ya asubuhi, chakula kizuri mchana na jioni utapata chai, soda au fresh juice (mteja utachagua unachotaka)

NB: ukumbi unauwezo wa kutoa huduma zote za mapambo, chakula, cocktail, mocktail, video, muziki, mc, nk,
Ila endapo mteja unataka kuleta mtoa huduma wako toka nje atachangia gharama zifuatazo
Mapambo 300,000 (ukumbi umeshafungwa tas za juu, na vitambaa vya pembeni:
Chakula 150,000
Cocktail 50,000
Video 100,000
Muziki 50,000

Karibuni sana, tunazingatia, UBORA WA HUDUMA" Pia tunapokea maoni na ushauri toka kwenu, 'NYINYI NDIO SISI" kwa mawasiliano, piga 0754 299 751, au 0655 299 751

03/01/2026
Kwa tofali Bora za stone dust Tupigie 0713238822URIYO REAL ESTATE DODOMA
08/04/2025

Kwa tofali Bora za stone dust
Tupigie 0713238822
URIYO REAL ESTATE
DODOMA

PATA MAZIWA HALISI ya Ng'ombe kwa bei nzuri sana.0713238822Dodoma city
15/08/2024

PATA MAZIWA HALISI ya Ng'ombe
kwa bei nzuri sana.
0713238822
Dodoma city

28/07/2024

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peter Uriyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share